Mlachake
JF-Expert Member
- Oct 13, 2009
- 4,451
- 4,654
Ndugu zangu nimeamini kweli mabadiliko yanakuja baada ya kusikia tangazo linalo mnadi Lowassa Clouds FM.
Ninaamini kama ni enzi zile hakuna redio wala chombo chochote cha habari kingekubali kupokea Tangazo la kumnadi mgombea wa upinzani. Japo ni Biashara.
Go Lowassa go Mungu ibariki Tanzania, mungu mbariki Lowassa.