:lol::lol: Kituo hiki hapiti kabisa kama ni daladala anasema haisimami hapo kituoni imejaza abiriaUsikute ameshachimbiwa mkwara na my wife wake asikatize pande hizi.
Natangaza kupotelewa na memba mmoja mwenye ID aina ya The Boss. Mara ya mwisho alionekana maeneo ya Siasa, Chit Chat na MMU na walikuwa karibu na kijana mwingine wa mtaani jina bado linahifadhiwa kwa sababu za kiuchunguzi.
Mara ya mwisho alikuwa kavaa pensi ya njano, fulana ya blue na yeboyebo za pink.
Zawadi nono itatolewa kwa yeyote atakaye fanikisha upatikanaji wake.
Asanteni!
Kwa taarifa za kiinterejensia alionekana ana ID mbili moja The Boss yapili Kongosho ila kwa mavazi nikama upinde wamvua anabadirika kama kinyonga ohoooo sorry Siyo Kongosho ni naniriyuu nanini...........???????Natangaza kupotelewa na memba mmoja mwenye ID aina ya The Boss. Mara ya mwisho alionekana maeneo ya Siasa, Chit Chat na MMU na walikuwa karibu na kijana mwingine wa mtaani jina bado linahifadhiwa kwa sababu za kiuchunguzi.
Mara ya mwisho alikuwa kavaa pensi ya njano, fulana ya blue na yeboyebo za pink.
Zawadi nono itatolewa kwa yeyote atakaye fanikisha upatikanaji wake.
Asanteni!
Kwa taarifa za kiinterejensia alionekana ana ID mbili moja The Boss yapili Kongosho ila kwa mavazi nikama upinde wamvua anabadirika kama kinyonga ohoooo sorry Siyo Kongosho ni naniriyuu nanini...........???????
Na AshaDii pia sijamuona kitambo humu...usikute wapo pamoja!:lol::lol::lol: