tangazo la kondom!

tangazo la kondom!

Naibili

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2011
Posts
1,878
Reaction score
1,061
jamani kuna lili tangazo la condom! kuna jamaa anaingia clab..alafu anaelekea caunter alipofika pale cjui alikuwa anatoa nini mara pakiti ya condom ikadondoka mwisho wanasema USISAHAU KUONDOKA NYUMBANI NA PAKITI YAKO nyie mnaonaje wadau, kwa wanawake ina maana mmeo akiondoka kama amesahua umkumbushe asisahau kuondoka na pakiti ........
 
ni kwamba utakuwa unamtuma kwenda kufanya ngono nje au?? isitoshe hakuna mwanaume atakayefurahia kumkumbusha kubeba condom,
 
Mie nilishiwa nguvu pale katoto ka jirani (walikua nyumbani kwangu) kaliposema."....eeeeheheee angalia halafu ataangusha kondom". Hapo ndio nilichoka zaidi, japo hilo la kuondoka home na kondomu juzi nililifanya nisishinde kwa raha, full kununiwa kisa eti nimeuliza kwa utani tu, umeona eeh, natakiwa na mimi niondoke na kondomu hapa au nikanunue hapo nje......moto wake usiseme.
 
pole saana ndugu, ila hali ndivyo ilivyo mimi nilimwambia shemeji yangu kuwa jamaa akisahau, umkumbushe achukue, jibu lake subutu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom