Tangazo la kondom na kuchochea ngono | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo la kondom na kuchochea ngono

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MFILIPINO, Feb 1, 2011.

 1. M

  MFILIPINO Senior Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF kuna lile tangazo la kondom la salama mi naona linahamasisha ngono kwa jinsi msichana anavyowaza ngono na kujiandaa kwa shughuli hiyo,isitoshe binti mwenyewe mrembo! TACAIDS mpo wapi? muwe regulators wa haya matangazo its too shame hasa ukiwa na watu unaowaheshimu i.e baba,mama, watoto.
   
 2. doup

  doup JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  ukweli mtupu umenena; ndo maana watoto wanafeli matangazo kama haya yanachangia sana
   
 3. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Tatizo watanzania mkionyeshwa ukweli hampendi huo ndio ukweli wenyewe na watoto wanatakiwa waelewe. Ndio maana zamani tulikuwa tunajua mtoto anaokotwa baharini sababu ya kufichaficha mambo.
   
Loading...