Tangazo la kazi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo la kazi.

Discussion in 'Jamii Photos' started by kingfish, May 11, 2012.

 1. kingfish

  kingfish JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hivi kubetisha maana yake nini?
  [​IMG]
   
 2. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu, what is kubetisha?
   
 3. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  .
  Wakuu, SIMBA WA TARANGA
  kingfish


  Hapa kinachoongelewa ni Gambling games hasa hasa hizi kama Sports Betting au aina nyingine za Kamari kama Slot machine, Bingo

  Sasa ukiisema kiswahili yule anaeitwa Betting Girl yaani kama Casino Dealer .. ukiitohoa utasema Msichana wa Kubetisha!


  Betting Girl = Msichana wa Kubetisha!  Angalia huyu hapa chini


  [​IMG]

  [​IMG]
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Fursa za ajira zinafunguka,,,hizo zote wizara ya kazi inaziweka kwenye data ya ajira mil 1
   
 5. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Ninavyojua KUBETISHA kwa sisi waswahili ni kale kamchezo kakukopana na kulipa, wiki hii unapewa hela wewe wiki ijayo mwingine mnakua kama mko watu kama 10 na kuendelea, sema haka kamchezo kanalawama sana waulizeni kina mama!
   
 6. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 7. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,894
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Dotworld wewe ni balaaa, mkali.
   
 8. kingfish

  kingfish JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Asante sana dotworld kwa ufafanuzi
   
 9. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Matokeo ya kamari ni umasikini, kukata tamaa, uvivu, ndoto za mchana, suicides
   
 10. driller

  driller JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  duh so huyo msichana... atakua kama hao nilio waona hapo..? manake hata las vegas casino mazingira sio hayo mzeiya
   
 11. King2

  King2 JF-Expert Member

  #11
  May 12, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Betting > kubetisha. Wabongo si mchezo.
   
 12. w

  wa hapahapa JF-Expert Member

  #12
  Mar 11, 2015
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 5,541
  Likes Received: 1,589
  Trophy Points: 280
  tangazo la kaz,

  elimu- darasa la saba au form 4
   
 13. m

  makubazi JF-Expert Member

  #13
  Mar 11, 2015
  Joined: Feb 15, 2013
  Messages: 2,054
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kama hukipendi basi usiketie ila kiache tu
   
Loading...