Shule ya sekondari St Patrick Hill School Kiserian iliyopo Kiserian nchini Kenya inatangaza nafasi za kazi kwa walimu.
Mshahara ni shilingi 350,000 kwa mwezi. Tafadhali fahamu kuwa mshahara hautalipwa wakati wa likizo za shule katika miezi ya Aprili, Agosti na Desemba.
Kwa maelezo zaidi au kuwasilisha maombi, wasiliana kupitia namba: +254 721 169 827.