Tangazo la kazi 100k kwa mwezi. Kazi unafanyia popote

Tangazo la kazi 100k kwa mwezi. Kazi unafanyia popote

Waziri wa ajira uje huku, kuna mabosi wanakiuka sheria za kima cha chini 350K 😂
 
Anauza bundle huyo jina tu linajieleza hakujua jf majobless wapo wengi ila sio wa bei rahisi rahisi
 
Nafasi za kazi huria
Kazi ni digital services
Mshahara -100k kwa mwezi
Uwe na simu
Uwe mkoa wowote
Mkataba upo
Uwe una uzoefu wa kuongea na watu
(Communication skills)
Ushawishi muhimu
Wanaotaka ni PM AU ANDIKA NO YAKO NITAKUPIGIA

CONTACT:
zelemelohiym@gmail.com
Kama unajua huwa unakosoa humu mafisadi, watekaji na wauaji usithubutu kuweka namba. Machawa wanatafuta wahanga kimkakati sana
 
Back
Top Bottom