tangazo la biashara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tangazo la biashara

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by kipindupindu, Oct 25, 2011.

 1. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  306314_2013264341307_1534762713_31731464_444529114_n.jpg kwa mawasiliano piga namba 07414290202
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  nauza sumu....mnanunua?
   
 3. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  sumu ya kobra na black mamba zinahitajika kwa sana tu,lakini nyongo ya mamba ipo kwa wingi kwa hiyo bei yake ni chini kidogo
   
 4. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mbona kimya preta ?unayo ya aina gani,sema kama usafiri ni tatizo tukufuate!
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  ninayo sumu ya kifutu...vipi.... mtachukua?
   
 6. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hiyo inatumika sana kama dawa ya magonjwa sugu,yaani unachanganya ratio ya tone moja:ndoo ya lita 20.hii dawa ilikosa soko mwezi wa tatu mpaka wa sita guess what babu wa loliondo alituharibia biashara,lakini kwa sasa soko lake liko juu.nitafutie kama vibuyu sita hivi si unajua mtaji unasumbua kidogo halafu dola imepanda kwelikweli!
   
 7. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  mimi nauza kutu, 1Kg ni sh 800/=
   
 8. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kutu ya chuma chakavu tunanunua kwa sh 500/kg hata hivyo wengi wanaulizia kutu ya chuma cha MV bukoba au spice ilander kwa sababu zinahusishwa na kuongeza bahati maeneo ya migodini.hii tutachukua kwa bei yoyote tu haina hasara!inatoka sana!!!
   
 9. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mie nauza watu vp mtanunua?
   
 10. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,263
  Likes Received: 10,455
  Trophy Points: 280
  kuna mahitaji makubwa sana ya viongozi hasa wenye uelewa wa masuala ya nishati na madini.
   
 11. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  soma tangazo vizuri!
   
 12. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  nitafutie soko
   
 13. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  hiyo nauza sh 1000 per kilos, na ukitaka ambayo haina siku nyingi kama mv islanders tena ina damu damu nitakupatia haraka.
  tuma order yako kupitia mail hii!: nungwi@islanders.znz.tz
   
Loading...