biashara ya mbao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Tunasambaza mbao kavu moja kwa moja kutoka Njombe kwa bei ya jumla ndani ya Dar es salaam na Pwani

    KAMA WEWE: •Unauza mbao reja reja kwenye banda lako. •Una hardware pia unauza mbao za ujenzi. •Una workshop kwaajili ya kutengeneza furniture. •Una mradi wa ujenzi na unahitaji mbao za ujenzi kwa bei ya jumla. •Unahitaji mbao kwa matumizi yako mengine kwa bei ya jumla. •Kama upo kwenye...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Update: Mfano wa oda ya mbao kutoka Njombe kupeleka Dar es Salaam yenye mchanganuo wa gharama na vibali vyote

    Habari za muda huu,leo ningependa kutoa mfano wa oda ya mbao ya mteja anaezitoa wilaya ya njombe kuzipeleka Dar es salaam. Hapo chini nitakuwekea mchanganuo wa gharama na vibali kila kitu,fatiliana na nami: ENEO LA KUPAKILIA: Mkoa: Njombe Wilaya: Njombe Kijiji: Uwemba TAARIFA ZA ODA YA MBAO...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Update: Biashara ya mbao kutoka Njombe kwenda mikoa mingine kama Dar es Salaam na Dodoma

    Kwa wale wafanyabiashara mnaokuja kujumua mbao wilaya ya Njombe ningependa kuwataarifu juu ya mabadiliko ya ushuru na kodi ya TRA •Kwasasa wilaya ya njombe wanacharge 3% ya thamani ya mbao zote ulizopakia kwenye gari kama ushuru tofauti na zamani walivokuwa wanacharge 100Tsh kwa ubao. •TRA...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Muongozo kamili: Kufanya biashara ya mbao za mpaina kutoka Njombe kwenda mikoa mingine kama Dar es Salaam,Dodoma nk

    NYARAKA MUHIMU ZINAHITAJIKA ILI MBAO ZISAFIRISHWE BILA USUMBUFU KWENYE VITUO VYA UKAGUZI NJIANI ‎ ‎ 1️⃣ Certificates (Vyeti) ‎ ‎✓• Taxpayer Identification Number certificate (TIN) – Cheti cha mlipa kodi kutoka TRA. ‎✓• Business License / Registration Certificate – Leseni ya biashara. ‎...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mbao za Miti aina ya Pines: Njoo ujifunze toka Miti inanunuliwa mpaka Mbao zinamfikia mtumiaji wa mwisho

    Natumaini ni wazima wa afya watumiaji wote wa jf. Leo nitaandika kila kitu nachojua kuhusu biashara ya mbao laini zinazotokana na mti aina ya pine. Nitazungumzia kuanzia manunuzi ya miti kutoka kwa mkulima hadi namna mbao inamfikia mtumiaji wa mwisho. Kabla sijaendelea ningependa kuweka...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nafanya biashara ya mbao za pines Njombe, na udalali wa miti

    MBAO.. Habari zenu wakuu!! Mi ni dalali na mchanaji wa mbao mkoani NJOMBE,, naomba kutangaza anayehitaji kujumua mizigo wa mbao ama kuanza biashara ya MBAO zilizokaushwa,, aina ya miti ni pines,, anaweza kunicheki kwa namba 0657765168 nipo njombe mjini.. BEI ya shambani.
  7. Mswahili-professor

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufanya biashara ya mbao

    Habari Wana JF; Nahitaji kufanya biashara ya kuuza mbao changamoto niliyonayo ni mtaji wangu mdogo je naweza kupata mkulima wa mbao wa kushirikiana nae? au mtu mwenye mtaji na nitakuwa nasimamia biashara na kugawana faida Pia naombeni ushauri kwa wazoefu wa hii biashara namna bora ya...
  8. Brojust

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu anahitaji ushauri kuhusu biashara ya mbao

    Jamani huyu ni mchepuko wangu wa muda mrefu sana. Sasa alinunua shamba la miti huko iringa miaka mingi nyuma, na this time ndio ile miti imeshakuwa kwenye stage ya kuvunwa. Sasa walikuja wachina wakataka kumpa M50 akachomoa. Ndio jana baada ya penzi letu zito akiwa amelala kifuani mwangu...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu Biashara ya mbao

    Biashara ya mbao nahitaji mtaji kiasi gani?
  10. didy muhenga

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mbao

    Wakuu habarini Nauza shamba la miti ya mbao ekari 4 lina jumla ya zaidi ya miti 2350 kwa bei ya kila mti 8,000 na midogo 6,000 kwaio jumla inakua 15milioni. Shamba lipo mafinga,Iringa.
  11. Muxt

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mbao

    Wakuu kwema!! Leo naomba ushauri humu jukwaani Nipo interested sana na biashara ya kuchana mbao na kuziuza. Kama Kuna mwanajamii yeyote anataarifa kuhusu hii biashara naomba asheee hapa Vitu muhimu navyotaka kujua 1. Bei ya chainsaw 2. Bei za miti 3. Bei za wachananji/fundi 4.Bei za mbao...
  12. Ester505

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya mbao banzi

    Naomba mwenye uzoefu na hii Biashara jamani anieleze A-Z. Nataka kuianza
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kwa anae jua biashara hizi mbili biashara ya mkaa kuleta Dar na mbao kuleta Dar

    Poleni na majukumu wadau najua humu kuna wazoefu wengi wa kudumu katika biashara hizi mbili naomba uzoefu wenu katika biashara ya mbao kuja kuuza Dar yani nipate sehemu niwe nauza taratibu au biashara ya mkaa nijumue mkoa nilete Dar niuze taratibu. Naomba ushauri wenu mtaji wangu ni 15m, na...
Back
Top Bottom