Wazo Langu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 1,381
- 842
Depo ya uchaguzi
Ejay unashiida. Unataka kujua kama kweli mm ni poti!!! What the hell use of it? Yes,utathibitisha mm poti then what? Kwani mm nimetaka watu mnijue ka poti. Humu JF kuna wanausalama wengi mno,tena kila sekta. Mm nilijitokeza kusaidia tu (hata kama naww niaskari). Ni kinyume na taratibu za jeshi kujiunga kwny mitandao kama hivi but i revealed my ID to help u.
Kwa kukusaidia tu nakujibu;
GD- means General duty...huvaa kaki au green jungle kwny operation. Kaz yao nigeneral,anaweza kufanya kaz ya trafic,ffu,etc according to the need. Depo yng wiki 38, Kupigiwa salute ni vyeo vya begani tu...i.e kuanzia nyota moja kwa jeshi lolote hata magereza au uhamiaji. Kozi yng yanyota ilichukua miez 6 CCP na PGO husema mafunzo yyte (cheo chchte) kuanzia Corporal kozi zao ziambatane na mafunzo ya uongozi maana ndipo uongoz huanzia..lakini field craft lazma wakumbushwe. PGO= Police General Orders,SACP= Senior Assistant Commissioner of Police, Kuna makamishna 8 Tz kulingana na comission zilizopo..ukimtoa afande Mangu na Kaniki. USINIULIZE TENA. LABDA KAMA UTAHITAJI KUJUA KUWA NITAKUTAMBUAJE KUWA WW SIO EJAY NA UMETUMIA VIBAYA UHURU WA MAWASILIANO MITANDAONI...NIKUPATEJE ILI NIKUTIE NDANI KWA NJIA YA CYBER CRIMES SITING PROGRAM? Fanya kazi askari wng...dont ever test me, am here to help civilians...! Farewell! EJay.
Naomba kujua: hivi waliomaliza chuo mwaka wa masomo 2013/14 tayari washapata vyeti?
na mshahara utaangalia kiwango cha elimu au ndo yale mambo ya polisi ni polisi tuu?
Mkuu mbona mmetangaza nafasi kiupendeleo?? Maana wengine tumemaliza form Six tukiwa na miaka 23!!
Chuo miaka 3 hapo tayari nina 26 plus kusugua lami miaka 2 now ni 28!!!
Tangazo lenu mnasema lazima usiw above 25!! Huoni mnatoa ajira kiupendeleo poti?
Mshahara ni kiwango cha elimu na kaposho juu,acha kabisa sasa ni raha bhana ila ndo kama temporary job,not secured and it is contractual job till 12 years of work be aware. Of that!
Kwa mtu aliyekaa karibu na kota za police na kuwa karibu nao hii sio kazi kabisa mfano me nimekaa sana police ufundi,usalama changombe.stakishari,
Dah sir lugoje napenda san ilo jesh bt nakumbuk walikuj jkt wakaniacha kwa kukosa inch moja tu mi graduate na nna 27yrs ilinipain san kk yan inch moja tu du c mchezo mna mashart sana aisee cc vimbilikimo tuna kaz kweli wadau.
Bwana Mkomanzila cwezi kukuhakikishia 100% lakini mwaka wangu mm walichukuliwa hadi wale wafupi tu...alimradi una profession ambayo ni productive kwa jeshi kama vile sheria,IT, HRM, Record managt, accountancy,social work,etc. Jaribu kuomba...ila hautapangwa traffic wala FFU.
Kwa mtu aliyekaa karibu na kota za police na kuwa karibu nao hii sio kazi kabisa mfano me nimekaa sana police ufundi,usalama changombe.stakishari,
Nyie jidanganyeni tu,kuna wenzenu waliingia mwaka 2012 (Professional) hadi leo wanazidiwa mshahara na Polisi wa Std 7 waliowakuta kazini,Lindo Kama kawaida.