Tangazo la ajira Jeshi la Polisi 2014/2015

Sidhani kama kuna upendeleo apo. Majeshi yoote huajili hivyo. JWTZ wanaweza kupokea hata 27 kwa kuwa lazima upitie JKT so wana assume umeipotezea huko. Tunachukua damu changa (wadogo zenu) ili tutengeneze spirit na integrity/positive attitude kazini. Nashauri wakitoka tu CCP waulizeni ivi katka zile course 10 mnazosoma...ukiacha ya mwisho 'field crafts' ni ipi inafundisha rushwa? Mbona mkifika huku mnaharibika? Au mnaiga wakongwe?

uyo daktari wa under 25 degree au zuga 2
 
Wadau,

Tangazo la ajira kwa wahitimu wa elimu ya juu (diploma,degree,etc. 2014 tu). Kwa wanaohitaji watembelee blog ya jeshi la police www.policeforce.go.tz kwa maeleza zaidi ya professional zinazohitajika na vigezo au viambatanishi wakati wa kuomba, pamoja na jinsi ya kudownload form husika. Mwisho wa application ni 31.08.2014.

ANGALIZO: Tunataka vijana wenye weledi waje huku, usije kwakuwa umekosa ajira. Uje utusaidie kulibadili jeshi upunguze haya malalamiko na laana za raia juu yetu kwa mambo wasioyaelewa kuhusu kazi hii ya lawama. Uje na moyo wote na uvumilivu wako na utayari kufanya kazi yyte ya polisi ndani ya vikosi vyetu. Lamwisho...unapokuja usimsikilize mtu..wengi utawasikia wakibeza na kukuvunja moyo lakini utakutana nao kwny interview. Binadamu ni waajabu...hayo yalitokea enzi zetu wakati tunaingia na degree zetu!

KARIBUNI SANA TUJENGE NCHI!

we ndo mwajiri au msemaji wa polisi
 
una nyota ngapi
 
Hahahahahahaaaaa....ww La Cosa Mia bana. Kumbe ww na mwenzio Bado Nipo mnataka tuanze kurushiana vijembe kama jukwaa la umbea. Nilikuwa nawaeleza facts na kujaribu kujibu kauli za wenye nia ya dhati yakujua...sio kuweka league ya nani anajua zaidi kuhusu jeshi.
Ninauhakika ww sio askar wa jesh lolote zaid labda nduguyo yupo huko. Suna mkuu asiejielewa kama ww...hence siwezi kuendelea kubishana nawewe. Askari woote wa majeshi yoote duniani kote tunaonekana hatuna akili kwa sabb ya sheria za command of chain tunapokuwa vitani au operation yyte ndani na nje ambapo ukipewa order kutoka juu hutakiwi kuhoji zaidi yakuitekeleza. Kama nikosa atajibu yeye.
 
Maneno machafu umeanza wewe kuniita mtoto wa kota....hatujuani bro trust me ! Sio majeshi yote duniani yanaonekana hayana akili..huku niliko ni fahari kuwa askari....kubali tu kwa Tanzania polisi wanachukiwa sana na raia kwa mambo yao ya kibabe pasipo kutumia akili.

Angalia tu hapa JF ikiletwa picha askari kauawa jinsi watu wanavyoshangilia.....mmekuwa zaidi ya majambazi..kubambikiza kesi ndio jukumu lenu.....yani ukisimamishwa na askari polisi jua umeumia bora ukutane na jambazi ijulikane moja (nakubaliana kuna wachache wanafuata sheria)

Ningependa sana kuona mnabadilika....ila safari ni ndefu sana.
 
una nyota ngapi

Daah...ebwana kitu gani kimepelekea kuuliza vyeo vyangu mkuu? Nimekukera,nimejipendekeza,nimekutisha au umeamua tu. Frankly ninakanyota kamoja nilikokapata this year...lakini zaidi nafurahia kutumikia taaluma yangu ktk taaasisi ambayo ilikuwa inanihitaji. Ungekuwa muungwana baada yakukereka na maada zangu ungehama thread ww na mwenzio La Cosa Mia...si lazima mchangie. Kunawatu walikuwa nania ya dhati kwao ama ndugu zao, wamepata maelezo na wametulia. For ur information, nilipokaa hamuwezi kunibishia/kunichalenge juu ya taarifa za Usalama,Polisi,Hazina na JWTZ...OVER AND OUT!
 
lugoje,acha kabisa kutudanganya hakuna polisi wa Tz asiyedai na kupokea rushwa,hii ni order of the day kwa kila polisi anqpoqmkq asbh,acha kutughilibu.Namlaani mwanangu yeyote atakayejiunga na Polisi TZ.
 
Daah...ebwana kitu gani kimepelekea kuuliza vyeo vyangu mkuu? Nimekukera,nimejipendekeza,nimekutisha au umeamua tu. Frankly ninakanyota kamoja nilikokapata this year...lakini zaidi nafurahia kutumikia taaluma yangu ktk taaasisi ambayo ilikuwa inanihitaji. Ungekuwa muungwana baada yakukereka na maada zangu ungehama thread ww na mwenzio La Cosa Mia...si lazima mchangie. Kunawatu walikuwa nania ya dhati kwao ama ndugu zao, wamepata maelezo na wametulia. For ur information, nilipokaa hamuwezi kunibishia/kunichalenge juu ya taarifa za Usalama,Polisi,Hazina na JWTZ...OVER AND OUT!

pole mjomba kama nimekukwaza.....maswali yangu ya mwanzo yalikuwa na nia njema kabisa....ilkuwa kuhusu madaktari kama wanapewa upendeleo wowote huko kama ilivyo JWTZ.....ulivyonibadilishia lugha na mimi nikakubadilikia ni hayo tu mkubwa
 
Daah...ebwana kitu gani kimepelekea kuuliza vyeo vyangu mkuu? Nimekukera,nimejipendekeza,nimekutisha au umeamua tu. Frankly ninakanyota kamoja nilikokapata this year...lakini zaidi nafurahia kutumikia taaluma yangu ktk taaasisi ambayo ilikuwa inanihitaji. Ungekuwa muungwana baada yakukereka na maada zangu ungehama thread ww na mwenzio La Cosa Mia...si lazima mchangie. Kunawatu walikuwa nania ya dhati kwao ama ndugu zao, wamepata maelezo na wametulia. For ur information, nilipokaa hamuwezi kunibishia/kunichalenge juu ya taarifa za Usalama,Polisi,Hazina na JWTZ...OVER AND OUT!

we unatoa siri za kambi ehee
 
daah...ebwana kitu gani kimepelekea kuuliza vyeo vyangu mkuu? Nimekukera,nimejipendekeza,nimekutisha au umeamua tu. Frankly ninakanyota kamoja nilikokapata this year...lakini zaidi nafurahia kutumikia taaluma yangu ktk taaasisi ambayo ilikuwa inanihitaji. Ungekuwa muungwana baada yakukereka na maada zangu ungehama thread ww na mwenzio la cosa mia...si lazima mchangie. Kunawatu walikuwa nania ya dhati kwao ama ndugu zao, wamepata maelezo na wametulia. For ur information, nilipokaa hamuwezi kunibishia/kunichalenge juu ya taarifa za usalama,polisi,hazina na jwtz...over and out!

unatuvuruga tu we tuache siye sio mazombi tutaenda kuomba
 
Sir Lugoje naomba majibu haya kuamini kama wewe ni poti...
1.GD ni nini na majukumu yao.
2.Depo lenu lilikuwa miezi mingapi
3.Ni level gani ambapo afisa wa polisi au jeshi lolote kupigiwa saluti na askari yoyote iwe wa jw.
4.hako kanyota kamoja ulichukulia wapi na kwa muda gani na according to PGO ratiba yenu ya mafunzo ya uafisa yanakuwaje?
5.kirefu cha PGO,SACP,na kuna CP wangapi tz?
6.mengine ningekuuliza pm coz unasema unafahamu kila kitu kwenye vyombo vya ulinzi
7.Tz mishahara mingi ni TGS Je police yao ni ipi au ndo hiyohiyo.
 
anazingua 2 awa ndo wanao kula vitu vya watu ukimuuliza anakwambia mi askari watu wa degree wapo kibao awana hata nyota
 
Ejay unashiida. Unataka kujua kama kweli mm ni poti!!! What the hell use of it? Yes,utathibitisha mm poti then what? Kwani mm nimetaka watu mnijue ka poti. Humu JF kuna wanausalama wengi mno,tena kila sekta. Mm nilijitokeza kusaidia tu (hata kama naww niaskari). Ni kinyume na taratibu za jeshi kujiunga kwny mitandao kama hivi but i revealed my ID to help u.
Kwa kukusaidia tu nakujibu;
GD- means General duty...huvaa kaki au green jungle kwny operation. Kaz yao nigeneral,anaweza kufanya kaz ya trafic,ffu,etc according to the need. Depo yng wiki 38, Kupigiwa salute ni vyeo vya begani tu...i.e kuanzia nyota moja kwa jeshi lolote hata magereza au uhamiaji. Kozi yng yanyota ilichukua miez 6 CCP na PGO husema mafunzo yyte (cheo chchte) kuanzia Corporal kozi zao ziambatane na mafunzo ya uongozi maana ndipo uongoz huanzia..lakini field craft lazma wakumbushwe. PGO= Police General Orders,SACP= Senior Assistant Commissioner of Police, Kuna makamishna 8 Tz kulingana na comission zilizopo..ukimtoa afande Mangu na Kaniki. USINIULIZE TENA. LABDA KAMA UTAHITAJI KUJUA KUWA NITAKUTAMBUAJE KUWA WW SIO EJAY NA UMETUMIA VIBAYA UHURU WA MAWASILIANO MITANDAONI...NIKUPATEJE ILI NIKUTIE NDANI KWA NJIA YA CYBER CRIMES SITING PROGRAM? Fanya kazi askari wng...dont ever test me, am here to help civilians...! Farewell! EJay.
 
Last edited by a moderator:

afande

pamoja sana
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom