Tangazo la Airtel linawakejeli wenzao TIGO

Tangazo la Airtel linawakejeli wenzao TIGO

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,286
Reaction score
488
Hallo JF Family.
Kama umebahatika kuliona tangazo la Airtel kwenye TV haswa kwenye kile kipindi kinachorushwa ITV na akina Adam Mchomvu na Double G.

Anaonekana jamaa mmoja aliyeshinda BAJAJ huku akihojiwa na waandishi wa habari akiulizwa Maswali anajisikiaje kuwa Mshindi wa BAJAJ!? Jamaa akawa haonyeshi kufurahishwa na Zawadi hiyo.

Mara ghafla huku akiwa anahojiwa na waandishi akapokea simu inayomjulisha kuwa ameshinda NYUMBA. Furaha iliyompata hadi ule Ufunguo wa BAJAJ akamtupia Mwandishi wa habar huku akimwambia kuwa Hiyo BAJAJ akaitumie na Mke wake.

MANTIKI;
Airtel wanawakejeli wenzao wa TIGO kuwa zawadi zao si lolote kwa Wateja wao. Mambo yote yako Airtel na Mijengo yao.

Kama utakumbuka siku za nyuma lile tangazo lao la hamia Airtel,kwenye tangazo lao walikuwa wakitumia Rangi za Tigo wakionyesha wateja wao hulazimika kupanda juu ya Miti ili waweze kuwasiliana.

Embu Ngoja tusubirie wengine pengine wao watakuwa wanatafrisi nyingine baada ya kuliona hili Tangazo.
 
Nimeskia leo wamepiga tangazo la hakuna kukata unapotuma na kupokea pesa kwa eateli,ila haya makampun yanatufanya mazuzu tu kwa ktulia vijisent
 
Kumbe ndio maana Airtel imeamuwa kutuibia credit zetu na Internet bundle ili wadanganye umma kwamba wanatoa zawadi za nyumba kwenye promo zao? wezi wakubwa hawa.
 
Makampuni yote yapo hivi.... Hao TiGO rangi zao ndo rangi za makampuni mengine....
 
sijui kama sheria z ushindani wa kibiashara zinaruhusu kwa hapa tanzania... But attacking you competitor so directly and aggressively portray lack of creativity and low fearful mind of their competitor.

They can't set their own move, that's the common character of lazy mind like those airtel guys...go tigo, go further , keep on bangin, airtel soon gonna fall on their sh!t
 
Kwa hiyo Airtel wanaamini Tigo ndo kibonde wao wakati Tigo wanaamini Voda ndo kibonde wao siyo?
wapinzani.jpg
 
Kwani si makampuni yote yana watu wa marketing & advertisement ? ?? na wanalipa pesa ya kutakata kama vipi nawao "bwa bwa/goti " wazidishe ubunifu katika biashara coz mie ndo napata raha.
 
Nadhani AIRTEL wamebomolewa! Ni ujinga kuwa na confrontation ya vile
Sijapenda na laini yao naiweka kapuni hadi mwezi ujao. Tigo yatosha!
 
Hallo JF Family.
Kama umebahatika kuliona tangazo la Airtel kwenye TV haswa kwenye kile kipindi kinachorushwa ITV na akina Adam Mchomvu na Double G.

Anaonekana jamaa mmoja aliyeshinda BAJAJ huku akihojiwa na waandishi wa habari akiulizwa Maswali anajisikiaje kuwa Mshindi wa BAJAJ!? Jamaa akawa haonyeshi kufurahishwa na Zawadi hiyo.

Mara ghafla huku akiwa anahojiwa na waandishi akapokea simu inayomjulisha kuwa ameshinda NYUMBA. Furaha iliyompata hadi ule Ufunguo wa BAJAJ akamtupia Mwandishi wa habar huku akimwambia kuwa Hiyo BAJAJ akaitumie na Mke wake.

MANTIKI;
Airtel wanawakejeli wenzao wa TIGO kuwa zawadi zao si lolote kwa Wateja wao. Mambo yote yako Airtel na Mijengo yao.

Kama utakumbuka siku za nyuma lile tangazo lao la hamia Airtel,kwenye tangazo lao walikuwa wakitumia Rangi za Tigo wakionyesha wateja wao hulazimika kupanda juu ya Miti ili waweze kuwasiliana.

Embu Ngoja tusubirie wengine pengine wao watakuwa wanatafrisi nyingine baada ya kuliona hili Tangazo.

Lakini ni kweli BAJAJ na NYUMBA wap na wap hata mimi ningeitupa tu hiyo funguo ya Bajaj although AIRTEL YACHOSHA NOW
 
Tangazo la kihuni sana hili

voda wanapaswa kuelewa kuwa hapo walivamia kambi ya tigo. You dont invade my territory and expect me not to react.
Ha ha ha ha
Viwanja vya nyumbani vya tigo hivyo mzazi upande wa pili wa bara bara wameweka HQ yao.
 
Nadhani AIRTEL wamebomolewa! Ni ujinga kuwa na confrontation ya vile
Sijapenda na laini yao naiweka kapuni hadi mwezi ujao. Tigo yatosha!

Mkuu Tigo wezi sana na hakuna mtandao wa kihuni kama Tigo. Kwa kiasi kikubwa isingekuwa tigopesa ningekuwa nimetupilia mbali simcard Yao. Kwasasa ndo mtandao aghali kuliko yote TZ
 
Makampuni yote ya simu ni hovyo sana, majuzi tu Tigo wamenilazimisha kukopa ela kwa lazima. Sikua nimejua mpaka nilipoweka tena hela ya bundle na kuambiwa salio halitoshi! Magamba has to go 2015! totally useless. Wanshirikiana na wageni kutuibia wazawa wavujajasho wa taifa hili bila haya/
 
Back
Top Bottom