Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,466
Ndo hivyo bwana mwizi wa kuku ukikutwa unapigwa risasi😅😅😅 TUKUTANE BANDANI
Najaribu kuzoom lkn sioni chochote kile
Nawaza tu endapo wezi nao wakiamua wajifyatue akili kwa kumjibu nini kitatokea.Hawa ndio wale wanaoibiwa na kuwekewa tangazo "FUGA TENA"
watu sasa wanaangalia makada wa ccm wanafanya nini alafu na wao wanafanya,hayo matishio ya kuua yametolewa mengi tena majukwaani na makada wa ccm.Hili si tishio la kuua? Jamhuri inasimama wapi hapo?
Naona kutakuwa na ka-conversation baina yao, maana huyo mwibiwa naye atataka kuwajibu tenaNawaza tu endapo wezi nao wakiamua wajifyatue akili kwa kumjibu nini kitatokea.
😀😀😀 sijui atawatisha na nini cha kuogofya mana risasi ameshazitaja.Naona kutakuwa na ka-conversation baina yao, maana huyo mwibiwa naye atataka kuwajibu tena
😀😀😀 sijui atawatisha na nini cha kuogofya mana risasi ameshazitaja.
😅😅😅Gobole 😂😂
Ukute mwizi mwenyewe kusoma hajui 😂Ila si ajabu mkwara ukasaidia japo wale vichwa vigumu watataka waone kama kweli hizo risasi za kufunzia anazo. 😃
Nakumbuka wezi wa kuku hawakupata msamaha wa mh. Rais bali mafisadi !!.Gobole [emoji23][emoji23]
Atasema anaenda kuloga😀😀😀 sijui atawatisha na nini cha kuogofya mana risasi ameshazitaja.
😀😀😀 Anakuwa katwanga maji kwenye kinu hapo.Ukute mwizi mwenyewe kusoma hajui 😂
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️