Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,315
- 8,750
Taarifa kwa jumuiya ya kampala international university in Tanzania ( KIUT)
Kutokana na mapungufu yaliojitokeza kwenye undergraduate admission guide book 2017/2018 kwa kutokuwepo kwa chuo chetu cha KIUT kwenye guide book hiyo iliyotolewa na TCU mwezi huu.
TCU imethibitisha kutokea kwa makosa hayo na mpaka kesho itakuwa imesharekebisha .
Asanteni na pole na majukum ya kila siku