Tangazo Hili la Haki Elimu Linamdhihaki JK.

Kuna tangazo la Hakielimu ambalo mwalimu anafundisha somo la computer kwenye shule ambayo jengo lake linakaribia kuangua, wanafunzi wanaona mchoro wanaulizana ile sijui nini iko kama video, wanalalamika mwalimu angekuja nayo labda wangeelewa. Lakini masikini shule haina umeme wala haijulikani lini itapata umeme, kwa sababu hata jengo lenyewe ukiweka umeme umeweka mtego kwa watoto, kwa hiyo somo la computer practically ni ndoto.

Nikiliangalia Tangazo hili naona kama wanamdhihaki JK na ahadi yake ya kueneza computer katika mashule nchini kwa ajili ya kujifunzia. Kwamba hili haliwezekani kwa kuwa shule hazina miundombinu ya kusupport matumizi ya computer.

Sijui wenzangu mnalionaje tangazo lile.

Sio kudhihaki wanamkumbusha wee mbona sio muelewa?
 
naona na ww huelewi unachokiongoea!!!
Ni kweli sielewei ninanchoongea kwa kuwa ww unaelewa nisichoongea, ngoja niclick hapa upate mwanga:yawn:
 
".. Ukitaka kuzima unabonyeza windows...halafu kioo kinabadilika rangi kuwa nyeusi...."

Ha ha ha, Baba Enock you are insane, umenivunja mbavu.
 
Katika matangazo yalio bomba hili ni la kwanza yaani nalipenda sana lilegonga Ikulu zile ahadi zilizotolewa kwenye kampeni ndio hizo.....

Bravo HAKI ELIMU
 
Kuna tangazo la Hakielimu ambalo mwalimu anafundisha somo la computer kwenye shule ambayo jengo lake linakaribia kuangua, wanafunzi wanaona mchoro wanaulizana ile sijui nini iko kama video, wanalalamika mwalimu angekuja nayo labda wangeelewa. Lakini masikini shule haina umeme wala haijulikani lini itapata umeme, kwa sababu hata jengo lenyewe ukiweka umeme umeweka mtego kwa watoto, kwa hiyo somo la computer practically ni ndoto.

Nikiliangalia Tangazo hili naona kama wanamdhihaki JK na ahadi yake ya kueneza computer katika mashule nchini kwa ajili ya kujifunzia. Kwamba hili haliwezekani kwa kuwa shule hazina miundombinu ya kusupport matumizi ya computer.

Sijui wenzangu mnalionaje tangazo lile.

Nikingekuwa JK ningelipiga marufuku mara moja. Yaani pamoja na jitihada zote bado watu wanadhihaki kazi ya JK. Piga marufuku.
 
niliwahi kusikiliza mahojiano ya yule muhindi wa haki elimu... jamaa anamwaga points.." reasonable" ambazo hazijakaa kisiasa ndio maana serikali inashindwa imfanye nini
 
Mnataka kutukumbusha tena mambo ya "maisha bora kwa kila mtz"?.......tuacheni tupumzike kwa presha jamani..
 
Kuna tangazo la Hakielimu ambalo mwalimu anafundisha somo la computer kwenye shule ambayo jengo lake linakaribia kuangua, wanafunzi wanaona mchoro wanaulizana ile sijui nini iko kama video, wanalalamika mwalimu angekuja nayo labda wangeelewa. Lakini masikini shule haina umeme wala haijulikani lini itapata umeme, kwa sababu hata jengo lenyewe ukiweka umeme umeweka mtego kwa watoto, kwa hiyo somo la computer practically ni ndoto.

Nikiliangalia Tangazo hili naona kama wanamdhihaki JK na ahadi yake ya kueneza computer katika mashule nchini kwa ajili ya kujifunzia. Kwamba hili haliwezekani kwa kuwa shule hazina miundombinu ya kusupport matumizi ya computer.

Sijui wenzangu mnalionaje tangazo lile.

Kadhihakiwa au JK kawadhihaki wa TZ? Mbona rahisi tu kama kweli anampango wa kuweka kila shule computer tuone utekelezaji sidhani kama ni swala la mara moja, kuna swala la kuboresha madarasa, shule kuwekwa umeme nk. sasa sijui hii miaka iliyobaki itawezekana au...
 
tangazo zuri sana hili, ni hali halis ya shule zetu nyingi hasa vijijin so unapowaahidi pc kwa shule ka hizo nnani anadhiaki mwenzie?
 
sio Kikwete tu bali watu wa mipango katika elimu pia. walimu wenyewe hawajui computer watafundishje? Haya ni maigizo!
 
Kuna tangazo la Hakielimu ambalo mwalimu anafundisha somo la computer kwenye shule ambayo jengo lake linakaribia kuangua, wanafunzi wanaona mchoro wanaulizana ile sijui nini iko kama video, wanalalamika mwalimu angekuja nayo labda wangeelewa. Lakini masikini shule haina umeme wala haijulikani lini itapata umeme, kwa sababu hata jengo lenyewe ukiweka umeme umeweka mtego kwa watoto, kwa hiyo somo la computer practically ni ndoto.

Nikiliangalia Tangazo hili naona kama wanamdhihaki JK na ahadi yake ya kueneza computer katika mashule nchini kwa ajili ya kujifunzia. Kwamba hili haliwezekani kwa kuwa shule hazina miundombinu ya kusupport matumizi ya computer.

Sijui wenzangu mnalionaje tangazo lile.

Tangazo liko very clear, ni maswala ya vitendo na nadharia period. Swala kudhihaki linakuja vipi hapa?

Naomba niseme kuwa TZ yetu itakuwa vigumu sana kwenda mbele kutokana na watu wenye altitude kama yako. Watu watapojifunza kuwa indepndent upstairs ndio watakuwa objective ktk kutizama mambo.

Hilo tangazo ni reality iliyopo kwa wasiopenda ukweli ni kutizama mambo mengine yasiyohusu. If I may ask What is your objective ktk hii thread?
 
Tangazo ni bomba na limekuja wakati ambao mkuu wa kaya ametangaza umuhimu wa kuwa na matumizi ya kompyta kila shule. Hoja yangu ni kuwa huyu mkuu wa kaya alipokuwa anasema hayo alikuwa usingizini? Sijafika Marekani au Uingereza au Ujerumani lakini nikiangalia madarasa yao kwenye luninga sioni kama yana kompyuta. Angekuwa amesema la maana kama angezungumzia uwezo wa kujenda vyumba ya madarasa, vyoo, walimu, n.k.
 
Back
Top Bottom