Nyamesocho
JF-Expert Member
- May 5, 2023
- 486
- 1,290
Hatuvunji Muungano bali tunataka historia na utamaduni wetu usipotee kama ilivyo ZanzibarAisee mnatuchosha! Nchi yetu inaitwa Tanzania. Msidhani mkitengana kuna lolote bora litakalotokea. Wake up guys!
Mmeshindwa kupinga rushwa, ufisaidi, ukosefu wa uwajibikaji serikalini, utawala bora, mnakimbilia kuuvunja muungano? Shame on you!
CCM.Tujadili namna Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unavyoathiri utanganyika wetu
Tujadili mambo ambayo yanaua Utanganyika wetu
Tanganyika yetu inafifia au kufa kabisa kwa sababu inamezwa na Tanzania Bara wakati wenzetu wa Zanzibar walivyoona jina "Tanzania visiwani" linaua Zanzibar wamesusa siku hizi ni "Zanzibar au Tanzania Zanzibar"
Tangayika yetu sasa imemezwa na Tanzania, wenzetu wana uraia mara mbili yaani wanajiita wazanzibar na Watanzania kwa nini sisi hatuitwi Watanganyika, kwa nini Tanganyika yetu inakufa, historia yetu ya Utanganyika inakufa tunacheka
Tunataka tusiitwe Tanzania Bara bali Tanzania Tanganyika ,mbona Wazanzibar walishakataa kuitwa Tanzania visiwani na sasa wanaitwa Tanzania Zanzibar
Ongeza mambo mengine yanayoua Tanganyika huku Zanzibar ikiinuliwa
Muungano wa kunufaisha nchi moja huo siyo muungano.Aisee mnatuchosha! Nchi yetu inaitwa Tanzania. Msidhani mkitengana kuna lolote bora litakalotokea. Wake up guys!
Mmeshindwa kupinga rushwa, ufisaidi, ukosefu wa uwajibikaji serikalini, utawala bora, mnakimbilia kuuvunja muungano? Shame on you!
Ukweli ndiyo huo.Zanzibari si wana serikali yao?, nasisi tuwe na yetu ambayo hakuna mzanzibari atakayeweka pua yake hapo, af ndio tuwe na serikali ya muungano mixer.
Tofaut na hapo kila mtu ale hamsin zake.
Naunga mkono hojaZanzibari si wana serikali yao?, nasisi tuwe na yetu ambayo hakuna mzanzibari atakayeweka pua yake hapo, af ndio tuwe na serikali ya muungano mixer.
Tofaut na hapo kila mtu ale hamsin zake.
Acha ndoto za mchanaHaya yooote yatakwisha siku Africa ikikubali kua Taifa moja fedha moja kiongozi mmoja nauhakika haya ya Dp naupuuzi mwingine mwingi tulionao utapotea maramoja
Mungu ibariki Afrika
Kaka wa wa Tanganyika hapaMimi ni Mtanganyika 💯 muungano kwangu ni bidhaa haramu. Muungano ni kivuli cha wizi wa rasilimali zetu
Mtumwaaaa pole sana njoo tuipambanie ardhi ya nyumbani ardhi MamaNipo hapa Stockholm Sweden nakula maisha mtajua wenyewe gawaneni fito wapuuzi nyie
Huo muungano hutakaaa uvunjike mlishaona mkataba wake??
Usilolijua ni usiku wa giza
Nmekaaa paleee.........
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji23]Acha ndoto za mchana