Hiki kichwa kuna kitu tofauti kinawaz zaidi ya Samia?Maskini haters wa Samia, Sasa hivi yamekuwa kama mazombie hata wanachokiongea hawakijui.......huyo ndo Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania. Humpendi tokomea zako nampula.
Kwani nyie Kuna kitu chochote mnawaza zaidi ya maombi mabaya kwa Samia?!!! Nikijibu swali lako, palipo na Nia mbaya kwa Samia, muungwana Mimi nitakuwa hapo kwa ajili ya kutetea........sitaki niulizwe kesho nikose majibu.Hiki kichwa kuna kitu tofauti kinawaz zaidi ya Samia?
Inferiority complex itakuua!!"Kwanza niseme siko katika malumbano ila tunajaribu kujenga hoja za kufikirika maana hazijawa halisi." Jamii ambayo inajiona au inaonwa kuwa iko juu kijamii ukaipa jina la nchi unadhani nini kitatokea? Kwa mtazamo wangu mfinyu jamii hiyo itaingiza ushawishi mkubwa katika ajenda nyingi za kitaifa.
Don't take it personal, mie si wa hivyo siko too low kiasi cha kuanza kuanza kujibishana kwenye mambo ambayo hayaniletei mkate mezani.Inferiority complex itakuua!!
Unawagwaya sana Wachagga, sijui walikuwa wanakupita darasani au wamekuzidi mali. Au boss wako Mchagga. Pole sanaDon't take it personal, mie si wa hivyo siko too low kiasi cha kuanza kuanza kujibishana kwenye mambo ambayo hayaniletei mkate mezani.
Kama mtazamo wangu umekukwaza kiasi cha kuona nina inferiority complex nisamehe na tuishie hapa katika hili.Each
Nimesema tuishie hapa, hunijui sikujui kwa nini tulumbane kwa mambo yanayoepukika? Duniani hakuna mashindano ya mali kuwa wamenipita Mali na kushindwa darasani sio kushindwa maisha vilevile sina bosi katika maisha yangu silipwi mshahara bali najilipa mwenyewe. Na kuhusu wachaga ni wake zangu wamenizalia watoto wananilelea na kunipikia hivyo siwezi kuwaogopa au kuwadharau bali nilitoa mawazo yangu kama Mtanganyika bila kujali ukabila, ukanda, Elimu, dini au jinsia.Unawagwaya sana Wachagga, sijui walikuwa wanakupita darasani au wamekuzidi mali. Au boss wako Mchagga. Pole sana
Tunapaswa sote kuwa hivi! Rasilimali nyingi za Tanganyika zinaporwa na wajanja wachache kwa mgongo wa Tanzania.Tanganyika nakupenda kwa moyo wote.
Tusiruhusu Uhuru wa Tanganyika kufifishwa kwa kutukuza mapinduzi ya Zanzibar! ππ¨Tunapaswa sote kuwa hivi! Rasilimali nyingi za Tanganyika zinaporwa na wajanja wachache kwa mgongo wa Tanzania.
Tusiruhusu Uhuru wa Tanganyika kufifishwa kwa kutukuza mapinduzi ya Zanzibar!
Inabidi tuirudishe nchi yetu Tanganyika na Muungano wa kulazimishana uvunjwe.Tunapaswa sote kuwa hivi! Rasilimali nyingi za Tanganyika zinaporwa na wajanja wachache kwa mgongo wa Tanzania.
Tusiruhusu Uhuru wa Tanganyika kufifishwa kwa kutukuza mapinduzi ya Zanzibar!
UMETISHA.Pwani ya Afrika mashariki.
Kwenye hili mimi nashauri achaneni na Zanzibar, hamuiwezi. Iliwashinda Wareno, wakaondoka; ikawashinda Waarabu, wakawa raia wa Zanzibar kwa kuzaliwa; ikamshinda Nyerere - Mtanganyika - aliyetamani kuitupilia mbali baharini akaishia kuungana nayo akidhani mambo yameisha, ikamkaa rohoni akajifia zake akaiwacha ikistawi.Tusiruhusu Uhuru wa Tanganyika kufifishwa kwa kutukuza mapinduzi ya Zanzibar! ππ¨
Baada ya utangulizi huo, nashauri tuiite Tanganyika ili Watanganyika wafurahi na Wazanzibari wapumue (wapumzike) na bughudha za Watanganyika. Tugawane mbao za Tanzania kila mmoja abaki kwake. ππΏππΏππΏππΏKwenye hili mimi nashauri achaneni na Zanzibar, hamuiwezi. Iliwashinda Wareno, wakaondoka; ikawashinda Waarabu, wakawa raia wa Zanzibar kwa kuzaliwa; ikamshinda Nyerere - Mtanganyika - aliyetamani kuitupilia mbali baharini akaishia kuungana nayo akidhani mambo yameisha, ikamkaa rohoni akajifia zake akaiwacha ikistawi.
Zanzibar ni kubwa mno pamoja na udogo wake wa eneo.
Baada ya utangulizi huo, nashauri tuiite Tanganyika ili Watanganyika wafurahi na Wazanzibari wapumue (wapumzike) na bughudha za Watanganyika. Tugawane mbao za Tanzania kila mmoja abaki kwake.
Kwenye hili mimi nashauri achaneni na Zanzibar, hamuiwezi. Iliwashinda Wareno, wakaondoka; ikawashinda Waarabu, wakawa raia wa Zanzibar kwa kuzaliwa; ikamshinda Nyerere - Mtanganyika - aliyetamani kuitupilia mbali baharini akaishia kuungana nayo akidhani mambo yameisha, ikamkaa rohoni akajifia zake akaiwacha ikistawi.π₯Ίπ₯Ίπ₯ΊKwenye hili mimi nashauri achaneni na Zanzibar, hamuiwezi. Iliwashinda Wareno, wakaondoka; ikawashinda Waarabu, wakawa raia wa Zanzibar kwa kuzaliwa; ikamshinda Nyerere - Mtanganyika - aliyetamani kuitupilia mbali baharini akaishia kuungana nayo akidhani mambo yameisha, ikamkaa rohoni akajifia zake akaiwacha ikistawi.
Zanzibar ni kubwa mno pamoja na udogo wake wa eneo.
Baada ya utangulizi huo, nashauri tuiite Tanganyika ili Watanganyika wafurahi na Wazanzibari wapumue (wapumzike) na bughudha za Watanganyika. Tugawane mbao za Tanzania kila mmoja abaki kwake.
Ngumu kumeza?Kwenye hili mimi nashauri achaneni na Zanzibar, hamuiwezi. Iliwashinda Wareno, wakaondoka; ikawashinda Waarabu, wakawa raia wa Zanzibar kwa kuzaliwa; ikamshinda Nyerere - Mtanganyika - aliyetamani kuitupilia mbali baharini akaishia kuungana nayo akidhani mambo yameisha, ikamkaa rohoni akajifia zake akaiwacha ikistawi.π₯Ίπ₯Ίπ₯Ί