Tanganyika tuna Wakurugenzi wa Halmashauri (DEDs) wawili wawili na mishahara tunawalipa wote

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,600
3,651
65% ya wakurugenzi wa Halmashauri ndani ya Tanganyika ni wapya.Hii maana yake nini?
1. Kuna wakurugenzi wanaokalia ofisi.
2. Kuna wakurugenzi wasio na ofisi maalumu.

Ikumbukwe kuwa ukimtoa mtu kwenye cheo cha Ukurugenzi mshahara wake unabaki palepale.

Hivyo kwasasa Tanganyika inabeba zigo la kulipa mishahara miwili miwili kwa Wakurugenzi wa Halmashauri.
 
95% ya wakurugenzi wa Halmashauri ndani ya Tanganyika ni wapya.Hii maana yake nini?

Mzee wa kutumbua anazidi kututia hasara!!
 
Hili jambo km ni kweli basi lipo tatizo kubwa mbeleni, mwanzoni u-ded was promotion, unakuta mtu ni DT au DE anakuwa promoted to DED, kitu ambacho mtu alikuwa akiondolewa anarudia kwenye kazi yake ya zamani ila kwenye mshahara hapo ndio sijui km ataendelea na mshahara wa zamani au mpya, ila awamu hii tumeshuhudia ma-ded na das wakitolewa nje ya mfumo wa utumishi wa umma.
 
95% ya wakurugenzi wa Halmashauri ndani ya Tanganyika ni wapya.Hii maana yake nini?
1. Kuna wakurugenzi wanaokalia ofisi.
2. Kuna wakurugenzi wasio na ofisi maalumu.

Ikumbukwe kuwa ukimtoa mtu kwenye cheo cha Ukurugenzi mshahara wake unabaki palepale.

Hivyo kwasasa Tanganyika inabeba zigo la kulipa mishahara miwili miwili kwa Wakurugenzi wa Halmashauri.
Acha ramli chonganishi.
Kama ulikuwa DeD na ukatemwa unapata stahili yako unaendelea na mengine
 
95% ya wakurugenzi wa Halmashauri ndani ya Tanganyika ni wapya.Hii maana yake nini?
1. Kuna wakurugenzi wanaokalia ofisi.
2. Kuna wakurugenzi wasio na ofisi maalumu.

Ikumbukwe kuwa ukimtoa mtu kwenye cheo cha Ukurugenzi mshahara wake unabaki palepale.

Hivyo kwasasa Tanganyika inabeba zigo la kulipa mishahara miwili miwili kwa Wakurugenzi wa Halmashauri.
Tuletee hicho kifungu kinachosema hivyo tukione! Otherwise unaongea from your own instincts
 
Acha ubishi, DED siyo mwanasiasa, ukimtoa ukurugenzi humkomoi bali utaendelea kumlipa mshahara huo wa ukurugenzi hadi atakapo staafu. Jiongeze kijana
Atakapostaafu au atakapofikia umri wa kustaafu? Hebu tuweke sawa hapa
 
Back
Top Bottom