Black Pundit
Member
- Dec 24, 2022
- 62
- 197
watanganyika wachache mno wamebaki, wengi waTanzaniaHivi kweli Currently hakuna Nchi ya kuitwa Tanganyika?
Wajuzi wa Mambo naomba mtuambie hii imekaaje.....
Natanguliza shukrani
Nchi iko kwenye vitabu vya historiaSio Nchi Tena?
wengi wamezaliwa Tanzania...Bdo cjakupata mkuu
Kwahiyo hichi kipande cha ardhi walichozaliwa ndani yake ni kitu gani?.Au nchi kwako ni nini?.Mimi najua nchi ni kipande cha ardhi chenye mipaka halali.Majina watu wanabadilisha tu.Sasa hebu sema wewe hichi kipande cha ardhi kilichoungana na kisiwa cha unguja na pemba ni nini?wengi wamezaliwa Tanzania...
waliozaliwa tanganyika ni wachache mno kuwashawishi wa Tanzania kudai tanganyika wasiyoijua ispokua kuidonoadonoa tu kwenye makaratasi darasani...
Hujui ata nchi yako.una utumwa wa fikra kwasababu za kusiasa.Mkataa kwao mi mtumwa.watanganyika wachache mno wamebaki, wengi waTanzania
bila shaka yoyote unazungumzia kipande cha aridhi ya Tanzania weweKwahiyo hichi kipande cha ardhi walichozaliwa ndani yake ni kitu gani?.Au nchi kwako ni nini?.Mimi najua nchi ni kipande cha ardhi chenye mipaka halali.Majina watu wanabadilisha tu.Sasa hebu sema wewe hichi kipande cha ardhi kilichoungana na kisiwa cha unguja na pemba ni nini?
mie mTanzania tena wa kuzaliwa , kamwe siwezi asilani kukubali kua mtumwa wa katanganyika abadaniHujui ata nchi yako.una utumwa wa fikra kwasababu za kusiasa.Mkataa kwao mi mtumwa.
Tanzania Bara ndio Tanganyika. Tanganyika ni kubwa yenye makabila mengiwatanganyika wachache mno wamebaki, wengi waTanzania
Fact isiyobishaniwa ni kwamba, Wazanzibari wote ni raia wa Tanzania na yeyote aweza kuwa Rais wa nchi akisimamia mambo yote ya iliyokuwa Tanganyika ambayo yeye automatically ni raia (uraia usiobishaniwa) mwenye hadhi his ya juu kabisa na utawala wake unahusu maeneo yote.Fikra tunduizi
Hiyo Z utaambiwa ni mali ya watuTanganyika ndiyo Tanzania baada ya kupata ubatizo wa maji mengi.
NCHI YA TANGANYIKA IPO ILA WANAONA AIBU KUIITA UTAWASIKIA WANAITA TANZANIA BARAHivi kweli Currently hakuna Nchi ya kuitwa Tanganyika?
Wajuzi wa Mambo naomba mtuambie hii imekaaje.....
Natanguliza shukrani
Jamaa kauliza NCHI ya Tanganyika wewe kwa akili zako ndogo unasema wilaya ya Tanganyika[emoji28][emoji28][emoji28]Wilaya ya Tanganyika ipo
Tuamue moja sasa tujiite Jamhuri ya watu wa NyikaHivi kweli Currently hakuna Nchi ya kuitwa Tanganyika?
Wajuzi wa Mambo naomba mtuambie hii imekaaje.....
Natanguliza shukrani
Ni kama wewe ulivyo tutusa unajiita Mzee wa Twitter nyakati za X 😀😀Jamaa kauliza NCHI ya Tanganyika wewe kwa akili zako ndogo unasema wilaya ya Tanganyika[emoji28][emoji28][emoji28]