Tanganyika na Wayahudi

Tanganyika na Wayahudi

Kwa bahati nzuri mimi niko hukuhuku Israel huu ni mwaka wa nane nimejaribu kuwauliza huko nyuma Israel imewahi kusaidia nini Tanzania ? walipo google wakakuta walisaidia kuanzisha mafunzo ya JKT kuanzia mwaka 1965 mpaka mwaka 1972 ,wakati huo JKT kwa mjibu wa sheria walikuwa wanapewa mafunzo ya miezi sita tu lakini wahitimu walikuwa wanaiva kweli kweli wanakumbuka waliwafundisha askari kupiga pasi nguo zao walikuwa wanazinyoosha suruali mpaka ukiisimika inasimamama, baada ya kutoka wao basi wahitimu wa JKT wakapoteza kabisa mbinu za midani.

Mambo ya Intelligence nayo hawakuwa nyuma, wakufunzi wengi wa jeshi wamepata mafunzo Israel akiwemo Mkuu wa majeshi LT. GEN. Milisho Salakikya, pia Kina macomandoo wamejifunza Israel, kuna commandoo mmoja alihitimu mafunzo ya ke Israel akarudi kijijini kwao mkoa wa Dodoma kijiji cha Kigwe, data base yao inasema walimfatilia nyenendo zake kijijini, wanasema alidraw sana attention kijijini na vijiji vya jirani maana commando huyo alikuwa anavaa nguo hazina kabisa mifuko lakini anatoa hela anawanunulia pombe wanajamii na anapokea change anaziweka humo humo kwenye nguo ambazo hazina mifuko, halafu wakati wa chakula anaanza kula mboga badala ya ugali, asubuhi akifanya mazoezi alikuwa anapanda mti mguu juu kichwa chini.

Kifupi Israel itaisaidia sana serikali atakayo endeshwa na CHADEMA hasa katika maeneo ya TISS na uzalendo nakujitolea

ebaeban
Tel.Avivi
 
Yeah, you have a point bro,
Kuna watu wamekaririshwa tu kuwa ubeberu, ubeberu,
Lakini wakiiba wachina wanaona sawa, huo nao ni ujinga pia.

Mmesahau kuwa akiiba mwarabu ndio inakuwa nongwa? Mbona mzungu akiiba hakuna nongwa apa kwetu!! Mitandao ya simu wanatuibia, mahoteli wanatuibia, miradi nayo wanatuibia, wazungu wanatuibia hayo madini. Lakini mwarabu amewachukua wanyama kuwapelka Qatar tena bila ya kujificha basi JF ilijaa nongwa kwa waarabu!
 
Mmesahau kuwa akiiba mwarabu ndio inakuwa nongwa? Mbona mzungu akiiba hakuna nongwa apa kwetu!! Mitandao ya simu wanatuibia, mahoteli wanatuibia, miradi nayo wanatuibia, wazungu wanatuibia hayo madini. Lakini mwarabu amewachukua wanyama kuwapelka Qatar tena bila ya kujificha basi JF ilijaa nongwa kwa waarabu!

Na wewe unarudia yale yale ninayoyakemea,
Kwa sababu mzungu ameiba basi tumuache mwarabu naye aibe, mwizi ni mwizi tu hatuangalii ni nani.
 
Sina shaka baada ya 2015,whether CCM au CHADEMA,tunawahitaji Wayahudi kulinusuru taifa hili la Mungu .

1.Tunahitaji intelligence yao kupambana na wabaya wa nchi hii,real magaidi.
2.Utaalamu wa irrigation,tuna maji tele lakini bado njaa kibao kwa wananchi wengi
3.Hata katika huduma za afya ku train madaktari wetu.

Uko timamu?
Hatuhitaji watu kutoka nje kutuambia namna ya kutatua matatizo yetu, Tuna wasomi wenye mawazo mazuri sana.
Fikra zako ni potufu, irrigation inahitaji watu kutoka Israel? huduma za afya...? hivi wajua watanzania madaktari bingwa wanaofanya kazi nchi za ughaibuni na afrika? training ya afya? unamatatizo ya kufikiri pole sana
 
lakini israel si wanasaidia uakristo kupambana na waislamu waache waje
Mkuu vipi upo poa;
Samahani kukuarifu kuwa hakuna wa kukupigania vita yako hao watakuja kutazama masilahi yao hapa nchini kuna madini ya kutosha wao kujinyakulia nasi tubaki na kuzozana kiimani! I srrael ni nchi iko makini siyo wajinga hivyo waendekeze uzembe wetu watatuacha tulivyo! halafu tusipo elewana sisi kwa sisi usitegemee aje mgeni kutulea hapa. Good day
 
WaTanzania wenzangu huu ni wakati muwafaka kujiendeleza na kujifunza yaliyomo nchini ilitunyanyuke; WaMerikani wanakuja hapo ujue Israel nayo inatumia fursa hiyo kujikimu juu ya mgongo wa OBAMA, Kesho waChina wanaanza kazi
hatimaye tutajikuta siye ni wapinga porojo au kuchapa kazi za kibarua tu...!! Amkeni tuchape kazi kama wenzetu tuvaliie njugaa!!, tuache majunguu na Umbea hayatatufaa hayo ni magonjwa sugu sugu!! Migogoro ya uariani mitaani na ya kidini huwa hayana mwisho. Jamennii tujikite katika yaliyo ya mfao. kila la heri
 
Afadhali hata ungesema Cuba. Israel? It is basically an imperialist country. Hujasikia inawafukuza Waafrika kule kwao?

ndugu yangu kuna watu hapa Tz kama vichaa akili zao wao wanaona kujipendekeza kwa Israel ndo shida zao kuisha bila kuwajua vizur wale mayaudi roho zao zilivyongumu hawataki wafrika na niwabuguzi sana
 
Hata kama angekuwa nani lazima angewafukuza waafrika kwa tabia zao. Waafrika hasa kutoka magharibi mwa afrika wamekuwa na tabia ya kuflow israel bila mpangilio, utadhani wakimbizi. Israel ni nchi ndogo isingeweza ku accommodate watu wengi.
Ni haki yao waafrika kufukuzwa Israel

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Wabongo unafiki na ujinga ni asili ya wengi wetu haswa pwani...wao ni bwabwa na biriani tuu....Hata mimi nimewashangaa sana.Kwani wakimbizi tuu waliokuwa wkaitunzwa na UN pale ngara tulichoka sana na madhara kibao...sasa ingekuweje km sisi ndio tungekuwa tunagharamia maisha yao...?Na kuangalia wakirandaranda nchi nzima?Wwakimbizi wengine hawana adabu, wanakimbilia kwako halafu wanakuja kukupiga vita,huku wakijua jinsi ulivyoishi ndivyo kumefanya na wao leo waone kuwa kimbilio.

Huu ndio ushenzi wa middle East,wanakimbilia nchi za watu halafu wakifika huko wanaanza ugaidi,udini na tabia hatarishi..sasa km dini yao na utamaduni wao ulikuwa mzuri mbona umewafikisha kukimbia?
 
yaani weye wa kuja mwisho ktk hii pwani ya africa mashariki halafu uje uwafukuze wazawa? Yaguju tusingekuacha hata siku 1.
Wazawa ni akina nani?Wengi wenye problems si wazawa...akina Ritz ni watumwa waliowekewa wakfu kabisa ili yeyote asiwakomboe...watumwa waliobaki pwani baada ya Anglican kuanza wanunua na kupiga vita utumwa...na wengine kubaki km wafanyakazi wa madanguro na misikiti ya waarabu.

wengi wa watumwa ni wakongo.....makonde na wanyasa,warundi.
 
Sio wanajiita, that's simply an eternal FACT. Like it or hate it Ben.

Socialism is no better than capitalism in any given time. Rather one need to be honest and prudent enough to find the + from each and mould it into something useful in the contextual circumstances.
Taifa teule wapi?? Taifa lililaaniwa baada ya kumua kristo ..wateule Roma banaa VATICAN CITY
 
Taifa linalojiita teule lakini la kibaguzi!

Ubeberu hawatauacha!

Kamanda kumbuka nchi yeyeto hapa Duniani haiwezi kukubali tu kila siku watu wa kutoka nje wanakuja kujazana halafu muwaangalie tu,wana haki ya kuwafukuza ngoja nikupe mfano Mkuu kama nchi inaingiliwa na Wasomali na mkawakubali kujazana kila kona ya nchi basi mtakujua kujuta maake hawa watu hawafanyi kazi ni wachafu,wavivu,wanazaliana kila siku sio kuwa nawabagua lakini ukweli ndio huo.Kumbuka hata Tanzania walifukuza Warundi so nao ni wabaguzi??Waache Waisrael wawafukuze hawa raia wa Sudan,Eritrea na Somalia kwani hawa watu wanapenda kupewa fadhila na ukishawapa hata hawakumbuki kulipa fadhila na mwisho wa siku wataanza kuua watu wenu i know them and nimeishi nao.
 
lakini israel si wanasaidia uakristo kupambana na waislamu waache waje

Teh teh...hata wabidha kule burma ,thailands na china,hata wahindu nao wanasaidia mataifa mengi sana kupambana na magaidi...cha kujiuliza kwanini kila sehumu si rafiki kwenu..


Uislam unaona kila kitu ni adui yake..ni adui hadi kwa nafsi yake.Ndio maana hata ktk nchi za kiislam kuna vita.Cheza na majinn lazima yanywe damu...
 
Waafrika au watu weusi hatupendwi na wazungu, waarabu,wa Asia na wayahudi hatupendwi ila sisi tunajipendekeza tuu
 
watu wengine bado wana akili za kitoto , tuwaite ili tuendelee...kwani hatuwezi wenyewe ? tangu lini bepari akakusaidia uendelee ?atakuja aibe kama wanavyoiba hao wengine ....hakuna tofauti yyte.
 
Taifa teule wapi?? Taifa lililaaniwa baada ya kumua kristo ..wateule Roma banaa VATICAN CITY
1. The Bible says so
2. History bears witness to it invariably
3. It's never a self-appointed title/status
 
Goyin utamjua tu...bado hujakuwa huru wa kufikiri , hujiamini..unamawao ya kuwa mtumwa......basi duniani kati ya atu wote wayahudi ? Khaaa mbona una kinyaaa...hao wazungu waliwachoka wakamtuma hitler kuwaangamiza kutokana na dhulma zao na dharau zao..kwa wasio kuwa wayahudi.....hujui historia wewe...kuna taifa gani linasaidiwa na isreal? Wao wenyewe ni tegemezi wa usa..leo wakisema hakuna msaada basi hawana kitu....misaada wanayopewa wayahudi na usa ni mikubwa na zaidi ya misaada yote wanayotoa kwa nchi zote duniani ...hawana chao...wewe umeona nini kutoka isreal? Zaidi wakupe silaha tuuawane
 
Sina shaka baada ya 2015,whether CCM au CHADEMA,tunawahitaji Wayahudi kulinusuru taifa hili la Mungu .

1.Tunahitaji intelligence yao kupambana na wabaya wa nchi hii,real magaidi.
2.Utaalamu wa irrigation,tuna maji tele lakini bado njaa kibao kwa wananchi wengi
3.Hata katika huduma za afya ku train madaktari wetu.


Malengo yako ni nini kuteua Kabila moja.
Hujaona kama unatafuta ku-discuss watu? Badala ya ku-discuss issues?

Why Wayahudi ndo watoe Intelligence
Why Wayahudi ndo watoe solution ya Irrigation
Why Wayahudi ndo watoe solution ya matatizo ya Afya

Why not other places of the world? Nani kakwambia utaalam huo haupo kwingineko?
Why Wayahudi?
 
Back
Top Bottom