Afadhali hata ungesema Cuba. Israel? It is basically an imperialist country. Hujasikia inawafukuza Waafrika kule kwao?
Afadhali hata ungesema Cuba. Israel? It is basically an imperialist country. Hujasikia inawafukuza Waafrika kule kwao?
You are the one who is so dumb my friend. Without Cuba today Angola would not be independent. It was Israel who helped the apartheid regime in South Africa acquire the nuclear bomb. Cuba has a high level of doctors of any country in the western hemisphere. Israel simply does not like Africans. Yes, it would like to use them like they used Idi Amin. Now who needs to read the news more?Hata sisi Tanzania,kama kuna watu wanataka kuja kwa wingi nchini,lazima tutawafukuza.
Kuna Eretrians,Ethiopians wanataka kuingia Israel kwa wingi.Hata Bongo wanashikwa vile vile
Israel ni nchi ndogo haiwezi kumudu influx ya watu toka Afrika.
Soma news kidogo.
Mbona watu hwazamii Cuba kama it is very nice. Naona you are so dumb.
Asafali umemtoa nduki huyu kichwa cha samaki.,anaonekana anapenda sana kusaidiwa,ukichanganya na tunavyoaminishwa SAFARI ZA No 1 ZA KWENDA KUOMBA MISAADA UGHAIBUNI ZINALIPA tutegemee kuwa na vichwa vya samaki kibao.You are the one who is so dumb my friend. Without Cuba today Angola would not be independent. It was Israel who helped the apartheid regime in South Africa acquire the nuclear bomb. Cuba has a high level of doctors of any country in the western hemisphere. Israel simply does not like Africans. Yes, it would like to use them like they used Idi Amin. Now who needs to read the news more?
Afadhali hata ungesema Cuba. Israel? It is basically an imperialist country. Hujasikia inawafukuza Waafrika kule kwao?
A dumb is clearly known by his/her words.You are the one who is so dumb my friend. Without Cuba today Angola would not be independent. It was Israel who helped the apartheid regime in South Africa acquire the nuclear bomb. Cuba has a high level of doctors of any country in the western hemisphere. Israel simply does not like Africans. Yes, it would like to use them like they used Idi Amin. Now who needs to read the news more?
Mimi ningeweza(Ningepata mamlaka na kupoteza UTU) ningemfukuzia Maalim, Ritz,Jussa .....na wazenj wote Oman.Wakamwangalie sultani asubuhi,mchana na jioni...wanakula bure na kuachia ushuzi tuu halafu kazi kupiga vita wananchi wazalendo na nchi yao.Teh teh....
Ila wasomali,wasudan,waesthiopia na wengine...kwa tabia zao ni mzigo...na wanahatarisha usalama wa taifa.Hapa tuu akina Kinana,tunaona uhai wa tembo....na polisi wetu(wamewaua maporini wakiwinda tembo) sasa sijui wakizidi itakuweje?taifa litapoteza mabillioni kukimbizana na hao panya,huku wakijificha katk haki za binadamu na ku side na maadui.
Afadhali hata ungesema Cuba. Israel? It is basically an imperialist country. Hujasikia inawafukuza Waafrika kule kwao?
lakini israel si wanasaidia uakristo kupambana na waislamu waache waje
Taifa linalojiita teule lakini la kibaguzi!
Ubeberu hawatauacha!
Sina shaka baada ya 2015,whether CCM au CHADEMA,tunawahitaji Wayahudi kulinusuru taifa hili la Mungu .
1.Tunahitaji intelligence yao kupambana na wabaya wa nchi hii,real magaidi.
2.Utaalamu wa irrigation,tuna maji tele lakini bado njaa kibao kwa wananchi wengi
3.Hata katika huduma za afya ku train madaktari wetu.
Afadhali hata ungesema Cuba. Israel? It is basically an imperialist country. Hujasikia inawafukuza Waafrika kule kwao?
Yeah, you have a point bro,Kuna watu nimewasikia na kuwaona wakitumai kuwa China ikiwa dola lenye nguvu kiuchumi basi/eti dunia itakuwa na usawa zaidi kuliko ilivyo sasa kwa USA. Kila mara ninaposikia hizo comments/remarks zao huwa siachi kujiuliza maswali mengi ya "how's possible"?
China ni watu, kama ilivyo UK au USA ni wabinafsi na hawana mpango wa kuboresha chochote ambacho viongozi wenu hawakipi upau-mbele. Duniani hakuna mjomba wala shangazi, get real!
Wachina wakiiba dhahabu na gesi poa, akiiba Mzungu nongwa. Hoja yangu ni kwanini tuibiwe? Sio nani aliyeiba.