Tanganyika Law Society (TLS) ifutwe

Tanganyika Law Society (TLS) ifutwe

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
2,175
Reaction score
4,179
Ni kundi la uchochezi kushinda hata vyama vya siasa, hata usemaje wa wakuu wao hauna tofauti na watu wa chama kile, japo hujichekesha kuudanganya umma.

Mimi kama mimi naona hakina faida hata moja na kinawezekana kabisa kinatumika, mambo yao mengi wanayojidai wanayafuata huwa ni mikakati ya terehe za muda mrefu na kauli maarufu ...tunafuatilia...
 
Ukishazoea vya kunyonga na kuua lazima uwe na akili ya kuuaua tu kila kitu! Vimeumbwa kijana uvisisiemu.

Hamtakagi kabisa mawazo tofauti, mlizaliwa msifiwe kila siku?? Mkipingwa mnafikiria mauaji tu ndio mwisho wa akili zenu?
 
Ni kundi la uchochezi kushinda hata vyama vya siasa ,hata usemaje wa wakuu wao hauna tofauti na watu wa chama kile ,japo hujichekesha kuudanganya umma.
Mimi kama mimi naona hakina faida hata moja na kinawezekana kabisa kinatumika ,mambo yao mengi wanayojidai wanayafuata huwa ni mikakati ya terehe za muda mrefu na kauli maarufu ...tunafuatilia...
Uwehu huanza polepole kama mzaha lakini ndiyo hivyo tena umewehuka!
 
Ni kundi la uchochezi kushinda hata vyama vya siasa ,hata usemaje wa wakuu wao hauna tofauti na watu wa chama kile ,japo hujichekesha kuudanganya umma.
Mimi kama mimi naona hakina faida hata moja na kinawezekana kabisa kinatumika ,mambo yao mengi wanayojidai wanayafuata huwa ni mikakati ya terehe za muda mrefu na kauli maarufu ...tunafuatilia...
Umeamka na uji wa chumvi wewe si bure.
 
Ni kundi la uchochezi kushinda hata vyama vya siasa ,hata usemaje wa wakuu wao hauna tofauti na watu wa chama kile ,japo hujichekesha kuudanganya umma.
Mimi kama mimi naona hakina faida hata moja na kinawezekana kabisa kinatumika ,mambo yao mengi wanayojidai wanayafuata huwa ni mikakati ya terehe za muda mrefu na kauli maarufu ...tunafuatilia...
Yani mnaogopa mabadiliko kuliko kifo aisee.
 
Ni kundi la uchochezi kushinda hata vyama vya siasa ,hata usemaje wa wakuu wao hauna tofauti na watu wa chama kile ,japo hujichekesha kuudanganya umma.
Mimi kama mimi naona hakina faida hata moja na kinawezekana kabisa kinatumika ,mambo yao mengi wanayojidai wanayafuata huwa ni mikakati ya terehe za muda mrefu na kauli maarufu ...tunafuatilia...
Hiyo ikifutwa ufutwe na ule mhimili wake ibakie chama twawala peke yake.
 
Mmeiteka na kuiua Mahakama, sasa haina sehemu ya kujisemea.

Mmeiteka na kuiua Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, sasa haina sehemu ya kujisemea.

Wanachofanya TLS ni kazi ya kitume. Wanavisemea vyombo ambavyo mmeviteka na kuviziba mdomo. Vyombo ambavyo ndivyo vyenye wajibu wa kusimamia na kutetea haki za Watanzania.

Mkiifuta TLS, hata hawa Wanajeshi mliowafanya wajinga sasaivi watajitambua na kupata akili na kufanya mapinduzi ya kuwatoa madarakani.
 
Ni kundi la uchochezi kushinda hata vyama vya siasa ,hata usemaje wa wakuu wao hauna tofauti na watu wa chama kile ,japo hujichekesha kuudanganya umma.
Mimi kama mimi naona hakina faida hata moja na kinawezekana kabisa kinatumika ,mambo yao mengi wanayojidai wanayafuata huwa ni mikakati ya terehe za muda mrefu na kauli maarufu ...tunafuatilia...
Kwanza ufutwe wewe
 
Zamani nikiamini damu ni damu tu, lakini nimekuja kugundua chezea damu zote lakini si ya binadamu. Tazama umekuwa mwehu bila kujitambua.
 
Ni kundi la uchochezi kushinda hata vyama vya siasa ,hata usemaje wa wakuu wao hauna tofauti na watu wa chama kile ,japo hujichekesha kuudanganya umma.
Mimi kama mimi naona hakina faida hata moja na kinawezekana kabisa kinatumika ,mambo yao mengi wanayojidai wanayafuata huwa ni mikakati ya terehe za muda mrefu na kauli maarufu ...tunafuatilia...
Nani kachocheka tuambie
 
Ni kundi la uchochezi kushinda hata vyama vya siasa, hata usemaje wa wakuu wao hauna tofauti na watu wa chama kile, japo hujichekesha kuudanganya umma.

Mimi kama mimi naona hakina faida hata moja na kinawezekana kabisa kinatumika, mambo yao mengi wanayojidai wanayafuata huwa ni mikakati ya terehe za muda mrefu na kauli maarufu ...tunafuatilia...
mnataka amani na utulifu ila haki hamutaki shenzi kabisa misisiemu
 
Ni kundi la uchochezi kushinda hata vyama vya siasa, hata usemaje wa wakuu wao hauna tofauti na watu wa chama kile, japo hujichekesha kuudanganya umma.

Mimi kama mimi naona hakina faida hata moja na kinawezekana kabisa kinatumika, mambo yao mengi wanayojidai wanayafuata huwa ni mikakati ya terehe za muda mrefu na kauli maarufu ...tunafuatilia...
hata hili andiko lako tunaifuatilia
 
Ni kundi la uchochezi kushinda hata vyama vya siasa, hata usemaje wa wakuu wao hauna tofauti na watu wa chama kile, japo hujichekesha kuudanganya umma.

Mimi kama mimi naona hakina faida hata moja na kinawezekana kabisa kinatumika, mambo yao mengi wanayojidai wanayafuata huwa ni mikakati ya terehe za muda mrefu na kauli maarufu ...tunafuatilia...
Husemi sababu za kufutwa, wamevunja sheria za nchi za nchi? Kuna mahal wameenda kinyume na katiba?

Jipange tena uandike uzi upya
 
Labda ungetuambia majukumu yake ni yepi na kama wanaenda kinyume na sheria na majukumu yake.
LSK ya Kenya iliipeleka serikali na jeshi la polisi mahakamani kwa niaba ya vijana maGenzy walio tekwa, kuumizwa na wengine kuuwawa wakati wa maandamano ya kupinga kupitisha bajeti ya serikali na wameshinda kesi, serikali inatakiwa kuwafidia waathirika wale kila mmoja alipwe Ksh 200,000. Je TLS ikiwatetea wananchi wanakosea?
Au watu watekwe, wapotezwe, wauwawe kusikuwepo chombo chochote cha kuwatetea? Tuelimishe na sisi tujue majukumu ya Tls, labda pengine wanatakiwa kuendesha matamasha ya burudani lakini sisi hatujui.
 
Ni kundi la uchochezi kushinda hata vyama vya siasa, hata usemaje wa wakuu wao hauna tofauti na watu wa chama kile, japo hujichekesha kuudanganya umma.

Mimi kama mimi naona hakina faida hata moja na kinawezekana kabisa kinatumika, mambo yao mengi wanayojidai wanayafuata huwa ni mikakati ya terehe za muda mrefu na kauli maarufu ...tunafuatilia...
Kwahiyo nyie kila mwenye maoni mbadala kwenu nikufuta au kupoteza? Njooni na majibu ya hoja zao sio vitisho mamlaka yanaisha mjifunze
 
Back
Top Bottom