Huu ni uchawi!
Mama kaanza kampeni mapema kabla hata ccm hawajampitisha...
Ila ni aibu aisee
Adui namba moja wa taifa letu ni CCMHawa washauri wanapata bei gani kwenye huu/hii miradi? Chanzo cha mapato kinatoka wapi?
Mpaka uchaguzi upite kuna watu watakuwa matrilionea..
Anyway tumsikilize Dr. Bagonza PhD kwanza kabla ya karamu ya mapichapicha...ðŸ˜View attachment 3256161
Jamaa wamewekeza Hadi kwenye MAJI ya kunywa 😄😀😀😀😀Sasa twende karamuniView attachment 3256162