Tanganyika imerudi

Ndiyoooooooo TAGANYIKA YETU ILUDI ikiwezekana hata kwa numi liwalo na liwe:msela:
:msela:
 
Nimegundua wengi mna lilia jina tuu lakini mkiulizwa Tanganyika mnayo lilia himekwenda wapi hamuwezi kujibu.

Hapa watu wa kulilia uhuru wao ni wa zanzibari sio nyinyi mnao lilia jina la Tanganyika bila sababu.
 
KWA WALE WAZALENDO WA TANGANYIKA HURU TUNAKUSANYA MAONI KUJUA NI WANGAPI WANAHITAJI NA WANGAPI HAWAHITAJI TANGANYIKA HURU.

ANDIKA NENO

a)NDIYO~TANGANYIKA HURU IRUDI.

b)HAPANA~TANGANYIKA HURU ISIRUDI.

Rekebisha kichwa cha habar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…