Tanganyika ilikufaje Z'bar ikasalimika?

(No longer Jamhuri ya) Tanganyika + (No longer Jamhuri ya Zanzibar) = Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Rais Kikwete juzijuzi alikuwa anatuuliza iwapo mchakato huu hapa chini uharakishweje:

(No longer Jamhuri ya Muungano wa) Tanzania + (No longer Jamhuri za Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi) = Jamhuri ya Shirikisho la Afrika Mashariki.

Mchakato huu unakwenda kwa kasi mpya.

Ndani ya huo mchakato hakuna tena hadithi ya Muungano wa mwaka 1964, kwa vile huo umeshafutwa na mkataba wa EAC.

Ama Zanzibar isiyo Jamhuri ishiriki kwa hadhi sawa na Tanzania / Tanganyika isiyo Jamhuri ndani ya EAC, au, Zanzibar isiyo Jamhuri iwe sehemu ya Tanzania isiyo Jamhuri ndani ya Jamhuri ya Shirikisho la Afrika Mashariki. Hicho ndicho wanachobishania kwa sasa, lakini si iwapo Tanzania ikome kuwa Jamhuri ya Muungano.

Kwa hiyo kujadili Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni kupoteza nguvu bure, kwa vile tayari imeshaamuliwa huo muungano sasa basi, Tanzania inaingia kwenye muungano mama lao wa Afrika Mashariki.

Hivi Mlenge nadhani unatumia kauli zisizo na busara na unahitaji kwenda kupimwa akili kwanza. Hivi utawezaje kwenda kuozesha binti yako ilihali hataki kuolewa?? Mawili either ndoa haitafanyika au ndoa itafanyika but haitadumu mwisho wa siku aibu itakupata mzazi. Hivi Tanzania itaweza kwenda kujiunza EAC wakati wazanzibar hawataki. Kuna analazimishwa katika shirikisho??? Pili hata kama tanzania itajiunga zanzibar wana serikali yao kitakachotokea ni kwamba SMZ wataboycott mwisho wa siku EAC itaanza kumeguka na hasara itakuwa kubwa kwao.

Hapa la muhimu kwanza serikali ya Tanzania imalizane na kero za muungano before going to the EAC otherwise ni moto unaofuka moshi utakuja kuwaka tu ukipata upepo.
 
somo la baba wa taifa umelielewa, his legacy, alitamani aving'owe visiwa vile halafu akavirembee caribean huko...sisi tunataka vibaki hapo hapo, ila visinajisiwe na Muungano m-bovu m-bovu, unaolindwa na majangili na majizi tu.
Baba wa Taifa was right. Vichukueni visiwa vyenu vipelekeni karibu na Haiti, Gadem!
 
Hivi Mlenge nadhani unatumia kauli zisizo na busara na unahitaji kwenda kupimwa akili kwanza.

Mdondoaji, unachosema ni kweli. Kwa nini naona kitu ambacho ni obvious (kimeandikwa kwenye maandishi, yaliyoko kwenye mtandao kwa anayetaka kuyasoma), kitu ambacho wengine ama hamuoni au mbaya zaidi mnakipuuza?

Is it true ninavyoona kwamba EAC italeta madhara sawa na / au kuzidi biashara ya utumwa? Kwa nini ninyi wanazuoni wetu, wasomi werevu, mnasaini, mnayanyamazia, mnayakubali, mnayashabikia hayo? Au ni mimi maleria imenipanda kichwani?

Mbaya zaidi naona dalili nyingine -- naona Watanzania wote 'wasomi' au 'watawala' wanaoshabikia EAC, ukiondoa wale Watanzania wa pasipoti tu, ndio inabidi wakapimwe akili. Hii ni hatari, kwa vile hata wale vichaa 'wanaookota makopo' hujiona wao ndio wazima, ila wengine wanaowashangaa ndio hamnazo... lakini kipimo cha kweli nani ni kichaa itabidi tuangalie makabrasha ya EAC...

Hapa la muhimu kwanza serikali ya Tanzania imalizane na kero za muungano before going to the EAC

Mdondoaji hapo unadhani kwamba watawala wa Tanzania wana sababu fulani za msingi za kuizamisha Tanzania huko EAC? Sababu hizo ni zipi? Maana kila sababu ninayoifikiri, nikiiandika hapa, maana yake niondoke Tanzania, halafu nisirudi tena.

If anything, Zanzibar is standing to gain kwenye EAC -- exactly unachosema kitatokea -- Zanzibar itaondoka iwe nchi huru, ikiiacha Tanzania - Tanganyika kwenye makucha ya EAC. Kwa vile Zanzibar ikibakia EAC, ndio watu pekee watakaokuwa wanapiga kelele... Wadanganyika lini tumeweza kukataa kitu chochote? Tumemshindwa hata Kikwete wetu huyu, tutamweza wapi Museveni?

Nina uhakika 99.99728% kwamba kama Tanganyika ilivyojongomea, ikabaki Zanzibar, ndivyo ambavyo Tanzania itajongomea kwenye EAC, wakati Rwanda, Burundi, Kenya na Uganda zitabakia intact, regardless.

Mlenge
 
Hivi wewe unakaa tuuu bado unaamini fikra kandamizi za Baba wa taifa, nani kakwambia kuwa znz inanafasi nzuri(na ipi hiyo?) katika muungano huu unaontia kichefuchefu cha roho, miaka arobaini ya hatua za mlevi zanzibar imesha suffer ndani ya muungano huu na wanaong'ng'ania usirekebishwe(siyo uvunjwe) ni wao bara na wameukalia kidete mrija wao wa unyonyaji wanaouita "upemba na uunguja" e.i, divide and rule policy, aliyorithi baba wa taifa kutoka kwa wakoloni kama bakora ya kuwachapa wazanzibar(ole wake huko aliko)

Licha ya Kijike cha Kizenjibari kumaindi kwa sana Makuwadi wake wa Kimanga, hakika kimwana huyu bado anafurahia sana kupigwa bumbu la kiutu uzima analopewa kila kukichwea na Dume lake la Kitanganyika. Na inavyoonekana (Piga ua!), hali hii itaendelea kuwa hivi hadi kiama! Habari ndiyo hiyoo...
 
Baba wa Taifa was right. Vichukueni visiwa vyenu vipelekeni karibu na Haiti, Gadem!
Wivu wa kike tu,mitanganyika ndo mlivyo
Licha ya Kijike cha Kizenjibari kumaindi kwa sana Makuwadi wake wa Kimanga, hakika kimwana huyu bado anafurahia sana kupigwa bumbu la kiutu uzima analopewa kila kukichwea na Dume lake la Kitanganyika. Na inavyoonekana (Piga ua!), hali hii itaendelea kuwa hivi hadi kiama! Habari ndiyo hiyoo...
Endelea kuota....kuona....
 
Tumepata habari kuwa dume lenyewe kileja...:cool:
 
Waswahili hunena mtu kwao,na wengine husema nyumbani ni nyumbani hata kama ni msituni.Mtikila mpaka sasa ukimuuliza anasema yeye ni mtanganyika.Na miaka ya tisini liliwahi kujitokeza kundi pale bungeni lililojulikana kama G55,lengo ikiwa ni kutaka kuwepo na serikali tatu,yaani ya Muungano,ya Zanzibar na Tanganyika.Mwisho wa siku hilo halikufanikiwa.
Mwalimu Nyerere mpaka Mungu anamwita, katika hotuba zake alisisitiza kwamba hajui jina Tanganyika lilitoka wapi,licha ya kwamba yeye alikuwa msomaji mzuri wa vitabu na mtafiti.Katika siasa kila wakati twaimba Muungano wa nchi mbili na licha ya Tanganayika kufa bado siku ya uhuru wa Tanganyika yasheherekewa kwa mbwembwe zote,tukikumbuka hayati Tanganyika.Pamoja na yote hayo ukweli unabaki palepale kuwa wengi wetu ni wataganyika,Muungano ni matokeo.Nchi nyingi,majina yake yanaendana na utamaduni wa mahala hapo.Je, Tanganyika ni kitu gani? asili yake nini? Nani alipendekeza nchi hii wakati huo iitwe hivyo,na alizingatia nini?
 
Baba wa Taifa was right. Vichukueni visiwa vyenu vipelekeni karibu na Haiti, Gadem!
Jasusi, na kwa huruma zake akaona bora awasaidie wananchi wa visiwani maana vinginevyo ambayo yangewakuta yangekuwa makubwa zaidi ya tunavyodhani. Waliokula chumvi nyingi wanajua hali ilivyokuwa wakati ule. Leo mambo yametunyookea bara na visiwani basi tunasahau tulikotoka!
 
Eeh sasa hivi raha kabisa, midume ya kimasai inalala pamoja na midume ya kitaliana huku ikipunga upepo wa karafuu...:cool:
 
Waswahili hunena mtu kwao,na wengine husema nyumbani ni nyumbani hata kama ni msituni.Mtikila mpaka sasa ukimuuliza anasema yeye ni mtanganyika.Na miaka ya tisini liliwahi kujitokeza kundi pale bungeni lililojulikana kama G55,lengo ikiwa ni kutaka kuwepo na serikali tatu,yaani ya Muungano,ya Zanzibar na Tanganyika.Mwisho wa siku hilo halikufanikiwa.
Mwalimu Nyerere mpaka Mungu anamwita, katika hotuba zake alisisitiza kwamba hajui jina Tanganyika lilitoka wapi,licha ya kwamba yeye alikuwa msomaji mzuri wa vitabu na mtafiti.Katika siasa kila wakati twaimba Muungano wa nchi mbili na licha ya Tanganayika kufa bado siku ya uhuru wa Tanganyika yasheherekewa kwa mbwembwe zote,tukikumbuka hayati Tanganyika.Pamoja na yote hayo ukweli unabaki palepale kuwa wengi wetu ni wataganyika,Muungano ni matokeo.Nchi nyingi,majina yake yanaendana na utamaduni wa mahala hapo.Je, Tanganyika ni kitu gani? asili yake nini? Nani alipendekeza nchi hii wakati huo iitwe hivyo,na alizingatia nini?

Ningependa kuuliza
ziwa tanganyika na nchi tanyika kipi kilianza??
 
Hao wanaowatukana Wazanzibari hawawakilishi mawazo ya right thinking Tanzanians.

Zanzibar was an independent country before Tanganyika.

Asking for their sovereignty is as noble thing to do as to choose to stay in the Union that is well defined.

Canada have Quebec, that a portion of population wants to get out of Canada. They just run referenda to ask if indeed that is what they want.

Tanganyika will soon be doing the same in EAC, wondering how did we end there.

Mlenge
 
What is in a name?

Tanganyika = Tangatanga nyikani. Tanganyika did not reach 5th birthday alive.

Tanzania = Itanze nia yako (however, hakuna wa kuitanzua!). Tanzania did not reach 50th birthday as free as it was, and have her last President (Kikwete) sign agreement to dismantle it in EAC.

The idea of names of Tanzania / Tanganyika being jinxing were published in local newspapers years back.
 
Mleta maada nashukuru maana kumbe hata neno Tanganyika tulitungiwa na wazungu.

Once part of the colony of German East Africa (German: Deutsch-Ostafrika), it comprised today's Rwanda, Burundi, and Tanzania with the exclusion of Zanzibar. After World War I the parts that are today's Rwanda and Burundi became a League of Nations mandate governed by Belgium. The major part, however, came under British military rule and was transferred to Britain under the 1919 Treaty of Versailles. This was confirmed by a League of Nations Mandate in 1922, later becoming a United Nations Trust Territory. Britain changed the name to the Tanganyika Territory.

The name 'Tanganyika' is derived from the Swahili words tanga meaning 'sail' and nyika meaning an 'uninhabited plain' or 'wilderness'. At its simplest it might therefore be understood as a description of the lake - 'sail in the wilderness'.[1]
 
Nyika za Tanga = Tanganyika

The name 'Tanganyika' is derived from the Swahili words tanga meaning 'sail' and nyika meaning an 'uninhabited plain' or 'wilderness'. At its simplest it might therefore be understood as a description of the lake — 'sail in the wilderness'.[1]
 
What is in a name?

Tanganyika = Tangatanga nyikani. Tanganyika did not reach 5th birthday alive.
Tanzania = Itanze nia yako (however, hakuna wa kuitanzua!). Tanzania did not reach 50th birthday as free as it was, and have her last President (Kikwete) sign agreement to dismantle it in EAC.

The idea of names of Tanzania / Tanganyika being jinxing were published in local newspapers years back.

Nakubaliana na Neno Tanganyika kuwa formerly lilitokana na Tanga na Nyika au tanga tanga nyikani lakini neno Tanzania wote tunajua ni herufi zilizotokana na neno Tanganyika na neno Zanzibar sasa hiyo ya Itanze nia yako nafikiri inatokana na mnyambulisho wa watu na maana zao ni kama neno Kaa linakuwa na maana nyingi nafikiri tuangalie hapa ni kipi kilianza
 
Hao wanaowatukana Wazanzibari hawawakilishi mawazo ya right thinking Tanzanians.

Zanzibar was an independent country before Tanganyika.

Asking for their sovereignty is as noble thing to do as to choose to stay in the Union that is well defined.

Canada have Quebec, that a portion of population wants to get out of Canada. They just run referenda to ask if indeed that is what they want.

Tanganyika will soon be doing the same in EAC, wondering how did we end there.

Mlenge
Hivi Zanzibar ilipata uhuru wake mwaka gani vile? Naona kuna watu wanataka kuandika historia upya.
 
Hivi Zanzibar ilipata uhuru wake mwaka gani vile? Naona kuna watu wanataka kuandika historia upya.
10/10/1963 ndo tarehe, mwezi na mwaka wazanzibari walipotoka karika minyororo ya dhulma za wakoloni wa Uingereza(slave traders, colonialists,imperialists,neo colonialists etc)
 
Back
Top Bottom