Sifa za kijinga na kujidai anataka kufanya jambo la kipekee.
Huyu jamaa alikuwa anaamini sana katika madaraka ya kichawi. Aliingiza nchi kwenye ushirikina mkubwa sana ili kupambaza watu, rejea historia ya Mwenge.
Alifanya mazindiko ya ajabu ambayo ardhi ilipasuka Kisha ikameza watu na Kisha kujifukia. Matukio hayo yalitokea Lindi na Tabora.
Furaha yake ilikuwa ni kuona watu wanakuwa masikini kila siku