Watuw anaweza shangaa ila huo ndio ukweli..Hii si mwanzo ktk dunia mataifa kununua vipande vya ardhi,kununua visiwa etc.na kuwapa wakazi wake waishi ila liwe chini ya nchi iliyonunua. Hii ni sehemu ya suluhu pia..Watu wapige mahesabu ya vipande vya ardhi....na thamani ya eneo husika.Wapewe hela zao...halazi zenji iwe mkoa wa Tanganyika....
Pengina ungekuwa na akili kidogo tuu ya kutuletea bei..ya zenj halafu usikie kuwa haifikiwi....sijui mtauza jumla au wabara wanunue pieach hadi ziishe halafu waipe serikali...Kwa utajiri gain hata mununue kisiwa . Mungeanza at least kuhakikisha umaskini unapungua kwa population inayoishi kwa less than a dollar a day, mukahakikisha elimu kwa wote, afya, maji, umeme na huduma za msingi kwa wananchi bear in mind ni nchi miongoni mwa masikini duniani.. Mungelianza at least kwa bajeti isiohitaji wahisani .. Unataka mununue kisiwa Wakati deficit mulionayo inatia Shaka hata kuendelea kukopeshwa duniani.. Hadithi zenu hizi za paukwa pakawa.. Zanzibar isn't for sale.. Mungelianza na ziwa nyasa kwanza na hizi porojo zenu za paukwa pakawa..
Pengina ungekuwa na akili kidogo tuu ya kutuletea bei..ya zenj halafu usikie kuwa haifikiwi....sijui mtauza jumla au wabara wanunue pieach hadi ziishe halafu waipe serikali...
Mafia haikuwahi kuwa sehemu ya zenj..hembu acha umbea...Bw mdogo hesabu zetu vile visiwa vikipatikana kitachofuatia ni pwani yote toka tng hadi mtwr huko tulipotoka ilikuwa nchi moja huwezi ukaiita BARA ni PWANI (bara ni bara na pwani ni pwani na visiwa ni visiwa)
Na wewe umetoka madrassat una matusi hivi..watoto wa waumini wenzio wazima kweli..nyie ndio mlioharakisha zenj kuwa na sheria ya watoto baad aya unicef kushinikiza..mkiwakamua waumini wa kesho.
Sidhani km unajua unachosema...katiba ipo clear mipaka ya zenj, na Tanganyika..Wao wakiita TZ bara baadaye ktk hiyo hiyo katiba ni wenda wazimu..na unachokichnganya hapa ni utekelezaji wa katika na uraia wa watz...na haki zao.Mkuu ulisoma katiba au ulitafuta picha uangalie na mle hamna picha!!!.... Hiyo katiba unayoisema imetambua kuwa Zanzibar ni nchi kamili ila nilitafuta jina Tanganyik nchi sikulion, so kwnini mZanzibar ambae mTanzania asimilk ardhi Bara wakati hakun mTanganyik mabae ni mtanzani!, utamiliki vip ardhi Zenj wakati hujulikan wap unatok?. Utakufaaa na njaaa zako "Street Boy".
Mafia haikuwahi kuwa sehemu ya zenj..hembu acha umbea...
Sidhani km unajua unachosema...katiba ipo clear mipaka ya zenj, na Tanganyika..Wao wakiita TZ bara baadaye ktk hiyo hiyo katiba ni wenda wazimu..na unachokichnganya hapa ni utekelezaji wa katika na uraia wa watz...na haki zao.
Watuw anaweza shangaa ila huo ndio ukweli..Hii si mwanzo ktk dunia mataifa kununua vipande vya ardhi,kununua visiwa etc.na kuwapa wakazi wake waishi ila liwe chini ya nchi iliyonunua. Hii ni sehemu ya suluhu pia..Watu wapige mahesabu ya vipande vya ardhi....na thamani ya eneo husika.Wapewe hela zao...halazi zenji iwe mkoa wa Tanganyika....
Kwani watu wakiuza vitu vyao ndio wanashindwa nunua vya mwingine?Then wafanya biashara wasingekuwa na akili.Kuna Watanganyika wa kutosha kabisa..wanaoweza nunua Vipande vya zenj kwa bei mbaya ..na bado wengine wakose.kama hiyo Tanganyika ingekuwapo kisheria...na kama nyinyi mna uwezo maaana yenu mshauza kwa makaburu na wazungu...mmeuza kila kitu mpaka wanyama.... nachelea mnakosa locus standis
Jamani mtoto Nicholas wa kufikia wa Kahtaan analia mwiteni baba yake nyie wajomba na baba zake wadogo mfumo, Ritz, gombesugu THE BIG SHOW
Zenj tena washukuru Nyerere alikuwa na hofu ya Mungu,angeweza itumia katiba na uhuru wa watanzania kulinda wanaonunua ardhi na kuwapa wawekezaji wa bara nafsi zenj..km russia alivyofanya leo kura zingepigwa tungekuwa na nchi moja na bishara kichaa ingekwisha..leo tungekuwa na mzenji aliyejiwekeza kwa babu zake Tabora,ujiji, kongo, malawi, msumbiji, iringa etc....bila kujali zenj,ila pale alipojenga himaya yake.
Alaska ilinunuliwa toka canada
Sorry wasomaji, Alaska ilinunuliwa Toka Russia.