Asanteni wote kwa dua zenu na michango yenu ya hali na mali sitaweza kuwataja kwa majina hapa ila much respect to TANGA WING. mlichoonesha hata ndugu hawajaweza kukifanya. Narudia tena asante
Dark City,
Mwanyasi,
YNNAH,
KOKUTONA tumempumzisha salama mzee siku ya ijumaa katika makaburi ya mswambweni.
Na mimi leo naondoka tanga kurejea kibaruani Lindi. Asanteni sana says
Negrodemus au
kapalampya