mchafukuoga
Member
- Apr 17, 2011
- 24
- 10
sawa je wanatoa wapi malighafi ( raw materials) kama mawe?
ili utengeneze saruji ni lazima uwe na mawe yakutosha.
nyuma ya hicho kiwanda kuna eneo kubwa sana lenye mawe
na ndio huko kuna wafugaji wadogo wadogo kwa uande unaopakana na amboni.
VUTA TASWIRA VIZURI NA PIA FIKIRIA KWA MAKINI.:mod:
Nilivyowahi sikia ni kwamba lile eneo la Amboni limenunuliwa na mwekezaji atatengeneza chokaa? pia kuna waturuki wamenunua mamia ya ekari kwa ajili ya kujenga shule/ chuo. Pia niliwahi sikia kuwa maeneo hayo kuambaa na bahari kutajengwa au limetengwa kwa ajili ya satelite town/city. Hivyo ni a long run wafugaji watabanwa wasiwe na mahali pa kufugia.
Nipo tanga lakini unayosema hayaendani ukweli halisi, tanga kiuchumi inashuka imebaki umaarufu tu.Waliihasidi Tanga kwa muda mrefu sana, kisa, nyerere hakukubalika huko. Sasa twayaona maendeleo babu wee, barabara zajengwa. Viwanda vyarudi, mpaka wanja la mpira la FIFA wakachakuwa lisijengwe huko, wakastukiwa. Bandari yaja. Haa, Kikwete wewe wanikooooosha mpaka ndani ya roho, Wallahi. Tanga hii Tanga yashamiri kila kukicha toka huyu bwana atwae madaraka.
Nipo tanga lakini unayosema hayaendani ukweli halisi, tanga kiuchumi inashuka imebaki umaarufu tu.
Kweli Tanga ile siyo hii ya leo,miaka ile ukiamka alfajiri mji umechangamka....mabasi ya wafanya-kazi wa saruji yanapita ktk vituo kupitia wafanyakazi,watu wa mbolea wanajivuta taratibu kazini wachilia mbali chuma,foma upande wa michezo usiseme ukisikia leo Coastal wanacheza na Bandari ya Tanga unahamu ya kwenda mpirani,kila kiwanda kilikuwa sehemu ya michezo,kawaida kusikia wkend maskani fulani wameandaa picnic,iwe Kigombe,Pangani or somewhere else...pengine haya yanayokuja yatarejesha hadhi ya mji wa Tanga..wenyewe wanaliiita jiji..Waliihasidi Tanga kwa muda mrefu sana, kisa, nyerere hakukubalika huko. Sasa twayaona maendeleo babu wee, barabara zajengwa. Viwanda vyarudi, mpaka wanja la mpira la FIFA wakachakuwa lisijengwe huko, wakastukiwa. Bandari yaja.
Haa, Kikwete wewe wanikooooosha mpaka ndani ya roho, Wallahi. Tanga hii Tanga yashamiri kila kukicha toka huyu bwana atwae madaraka.
Nipo tanga lakini unayosema hayaendani ukweli halisi, tanga kiuchumi inashuka imebaki umaarufu tu.
Waliihasidi Tanga kwa muda mrefu sana, kisa, nyerere hakukubalika huko. Sasa twayaona maendeleo babu wee, barabara zajengwa. Viwanda vyarudi, mpaka wanja la mpira la FIFA wakachakuwa lisijengwe huko, wakastukiwa. Bandari yaja.
Haa, Kikwete wewe wanikooooosha mpaka ndani ya roho, Wallahi. Tanga hii Tanga yashamiri kila kukicha toka huyu bwana atwae madaraka.