TANGA: Wasichana 29 wanaswa wakitoroka kwenda nchi za Uarabuni kuuza figo

wangeuhusiwa waende wakirudi wakute viwanda vimefikia 5000 labda ndio watapata kazi na kukidhi mahitaji yao,hivi 3500 vilivyopo nafasi zimejaa
Niliposikia malipo ya viwandani nikadharau sana.
Wanalipa 5700, wengine 6000 kwa siku kwa mwezi mtu aliyeajiriwa analipwa 200,000. Huu ni utumwa kbsa. Mm siwezi kufanya kazi kiwandani lbd wanalipa kuanzia laki 3 lkn chini ya hapo siwezi.
 
WWale makasisi waliolawiti watoto vatican wanamisalaba mikubwa shingoni?
kwahiyo " kama makasisi waliwalawiti " watu wao huku" basii na waarabu na wao kuwalawiti " Dada zako nisawa tu "" aisee...ujinga mwingine huu" hao waarabu na wazungu wamewapa nini " mpaka imefikia hatua ya kuwa tetea kiasi hicho ..wakati hata hawana time nanyi"" UJINGA kweli mzigo
 
Mara kwenda kuuza figo mara wameonywa kwenda kufanya vitendo vya kijinsia

Wabongo kwa unafiki ni hatari. Wacheni watu wakatafute maisha hapa yameshashindikana.
ifike " mahala" ukweli usemwe " watu weusi tu wajinga mnoo"" yaani mtu yupo radhi agombane au anune " kisa tu " kaambiwa kuwa waarabu/wazungu hawafai" "" ila niukweli uliowazi kuwa unapowaweka Hawa watu wawili mezani wazungu/waarabu" kwakweli wazungu ijapokuwa wanatuibia lakini wana nafuu mnooo ya ustaarabu"" waarabu washenzi sana pumbavu zao " wanajifanya kuw wao ndio chimbuko la dini ya haki " wakati niwatendaji wa dhambi wakubwa mbwa hawa "" jana tu nimetoka kutumiwa pictures na rafiki yangu mmoja hivi anayeishi JIDA zile zinamuonyesha Dada wa kiganda aliyekuwa anafanya kazi Oman akiwa amelala sakafuni " huku mwili wake umetobolew kooni kwa kitu chenye ncha Kali " na kwa mantiki hiyo nikwamba ameshafariki " rafiki yangu mwenyew anakiri kuwa Dada zetu wana nyanyasika mnoo huko uarabuni"" sikatai wapo ambao wamenufaika na kuishi kwao huko " lakini matukio ya uvunjwaji haki za ubinaadanu haswa kwa watu weusi yamekuwa ni makubwa mnooo aiseee""" na mbaya zaidi watu weusi wenyewe ambao wana imani ya uislam ndio hao hao wameamua kuwa mashabiki wa waarabu "" yaani huwezi kuwaambia kitu kuhusu ubaya wa waarabu na wakakuelewa ..ujinga tu
 
Cardinal namba 3 wa Vatican ashitakiwa kwa ulawiti HAPO TUNAONGELEA MWARABU MWENYE ALAMA NYEUSI KICHWANI NA MZUNGU(KASISI) MWENYE MSALABA SHINGONI. HATUJAONGELEA KUHUSU MWISLAM AU MKRISTO. VITABU VYOTE HAVIRUHUSU UASHERATI. WATU HUFANYA KWA MATASHI YAO WENYEWE. BE CRITICAL THINKER SIO UNAKURUPUKA TU.
 
Back
Top Bottom