Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,392
- 289,522
- Thread starter
- #41
Dira ya nchi inatolewa na ChademaNilie nini kwani nchi inaongozwa na chadema
Dira ya nchi inatolewa na ChademaNilie nini kwani nchi inaongozwa na chadema
Chadema hakijafa ila chadema kimepoteza sera na chadema kimejishusha chenyewe kweye Nafasi yake.Kuna watu walisema Chadema imekufa
Labda wafuasi wasio na dini, ila si waislamuHii ndio taarifa mpya iliyotufikia mapema leo jioni, hii ni baada ya Hotuba kali iliyotolewa na Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini Godbless Lema kuwagusa moja kwa moja wakazi wa mji huo.
Mungu ibariki CHADEMA.
View attachment 2559802
Retired
Kwani Chama cha Waislam ni kipi ?Labda wafuasi wasio na dini, ila si waislamu
Hayo yalishazoeleka!Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia mapema leo jioni, hii ni baada ya Hotuba kali iliyotolewa na Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini Godbless Lema kuwagusa moja kwa moja wakazi wa mji huo.
Mungu ibariki CHADEMA.
View attachment 2559802
Retired
Kwani Chama cha Waislam ni kipi ?
Una mawazo ya kijinga yaliyopitwa na wakati mno !Tatizo la chadema udini na ukabila unafikiri mjinga gani atajiunga!
Ninakubaliana na umaskini wa watu wa Tanga, lakini Lema hatakuwa mtu sahihi wa kuwaliza juu ya hilo. Inawezekana hawakumuelewa Lema kwa lugha yake ya kiajabu.Umasikini wa Mkoa wa Tanga unatisha , Lema amepiga humo humo tu watu wakaelewa
Kwani Lushoto haiko Tanga? Kwa bahati mbaya sana umenikumbusha yule kijana , marehemu Mtoi!Tanga haijawahi kuwa chadema Maisha mnajidanganya hao ni walevi wenzenu wa huko kaskazini...Hakuna mtu anaweza kukubali chama za matapeli na walevi labda huko lushoto
Lema anachokifanya kupiga vita umasikini kwa lugha ya kweli bila hadaa , Muhimbili inapokea majeruhi 600 wa ajali kila mwezi , 80 % wanatokana na bodaboda , hatuzungumzii maiti zinazookotwa barabarani baada ya kugongwa , hii ni biashara ya kimasikini ambayo ni roho mkononi .Ninakubaliana na umaskini wa watu wa Tanga, lakini Lema hatakuwa mtu sahihi wa kuwaliza juu ya hilo. Inawezekana hawakumuelewa Lema kwa lugha yake ya kiajabu.
Anayoyaamini lema, kama kweli anayaamini, hayo ndiyo yatakayowaingiza kwenye hali ngumu zaidi kuliko hata waliyonayo sasa.
Kwa lugha ya hivi karibuni, aliyorudi nayo toka Canada, hao wote watakuwa ni watu ambao hata bodaboda hawatamudu kuzimiriki.
Unajua? Kila mtu hawezi kuwa "mchaga", sifa anayoiona Lema kuwa cheti muhimu cha mafanikio na cha kujivunia.
Usinielewe vibaya hapa, kwa sababu huwa sipendi kugawanya na kurundika kundi fulani kwa pamoja; lakini inabidi kutumia mfano huo kama anavyoamini yeye Lema.
Lema kwa CHADEMA kwa sasa hivi ni 'liability,' siyo turufu tena.
Nchi itadumaa kama chadema!Dira ya nchi inatolewa na Chadema
Kwa Jina jipya anaitwa CASEMIRO , sijui kwanini wamempa jina hiliSafi sana Kambaya.
Ameleta mapinduzi nadhani.Kwa Jina jipya anaitwa CASEMIRO , sijui kwanini wamempa jina hili
[emoji38][emoji38][emoji38] labda !Ameleta mapinduzi nadhani.
Ukosefu wa elimu ya kutosha bila shaka, kama hilo ndilo analolipigia keleleLema anachokifanya kupiga vita umasikini kwa lugha ya kweli bila hadaa , Muhimbili inapokea majeruhi 600 wa ajali kila mwezi , 80 % wanatokana na bodaboda , hatuzungumzii maiti zinazookotwa barabarani baada ya kugongwa , hii ni biashara ya kimasikini ambayo ni roho mkononi .
Kumbuka , hatupigi vita piki piki , tunapiga vita biashara ya bodaboda .
Unadhani kwanini Chai maharage zilizuiwa ? kwani zilikuwa hazileti hela ?