Karibu wengi mjivue magamba tulijenge taifa letu 🤔Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia mapema leo jioni, hii ni baada ya Hotuba kali iliyotolewa na Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini Godbless Lema kuwagusa moja kwa moja wakazi wa mji huo.
Mungu ibariki CHADEMA.
View attachment 2559802
Retired
Unajua?Umasikini wa Mkoa wa Tanga unatisha , Lema amepiga humo humo tu watu wakaelewa
Kwani wapi alishawahi kuwa waziri au rais akashindwa ndio utoe maneno hayo?Unajua?
Lema akiwaambia hao maskini wa Tanga kwamba kitita cha dola za Marekani elfu tano si kitu anachokionayeye kuwa hela ya kupotezea muda wake, na kwamba hiyo hela kila mmoja wao, hao maskini watakimudu mara tu CHADEMA wakishika madaraka, haishangazi kabisa hao maskini wakaichukulia hivyo hivyo ilivyoletwa na Lema, hata bila ya kueleza chochote cha ziada kuhusu watakavyoipata hiyo hela.
Lema hana uwezo wa kuifanya Tanzania kuondokana na hali mbovu kimaendeleo, ila anatumia tu hiyo mipasho kuamsha hisia za watu.
Kilicho wazi ni kwamba hayo anayoyasema sasa ni ya kujinufaisha zaidi yeye na kundi maalum, na kuwaacha maskini wengi zaidi kuliko ilivyo sasa nyuma yake.
Upepo umeanza kubadili mwelekeo. Mwenyewe narudi chademaHii ndio taarifa mpya iliyotufikia mapema leo jioni, hii ni baada ya Hotuba kali iliyotolewa na Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini Godbless Lema kuwagusa moja kwa moja wakazi wa mji huo.
Mungu ibariki CHADEMA.
View attachment 2559802
Retired
Wamenuna tayariHii ndio taarifa mpya iliyotufikia mapema leo jioni, hii ni baada ya Hotuba kali iliyotolewa na Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini Godbless Lema kuwagusa moja kwa moja wakazi wa mji huo.
Mungu ibariki CHADEMA.
View attachment 2559802
Retired
Kwa bahati mbaya sana sijaziona "pumba" zako nilinganishe na hizi unazoziita wewe pumba!Kwani wapi alishawahi kuwa waziri au rais akashindwa ndio utoe maneno hayo?
Pumba at work
Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia mapema leo jioni, hii ni baada ya Hotuba kali iliyotolewa na Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini Godbless Lema kuwagusa moja kwa moja wakazi wa mji huo.
Mungu ibariki CHADEMA.
View attachment 2559802
Retired
Swali ni je? Wataipigia chadema kura
Nakupata japo siasa za bongo ni mchezo mchafu
Unawajulia wp acha uongo ww...kwn kuhama hama vyama imeanza leo??? Kwnn unaweweseka ?? Tulia askari wa zenj sindano ikuingie vzrHakuna ccm hata mmoja nawajua kwa sura hao ni chadema kitambo wamewapiga changa!
Katiba mpyaNakupata japo siasa za bongo ni mchezo mchafu
Iko mambo hapo ni kimbembe kuipataKatiba mpya
Hili ni shinikizo , halikwepekiIko mambo hapo ni kimbembe kuipata