Tanga: Wanachama 78 wa CCM wahamia CHADEMA

Tanga: Wanachama 78 wa CCM wahamia CHADEMA

Huu ni ujinga. Chama kinapaswa kujivunia kuwa sera zake watu wanazijua. Nje na hivyo ni ujinga mkubwa sana.
 
Chadema na CCM ni mtu na Dada yake maana wote wakikutana wanampamba Mama Samia..hapo Sawa na mtu katoka chumbani kaja sebuleni utasema amehama nyumba.
 
Sinema zinaanza baada ya muda mrefu........... Uzuri mwisho wa siku tunaelewa inavyokuaga
 
Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia mapema leo jioni, hii ni baada ya Hotuba kali iliyotolewa na Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini Godbless Lema kuwagusa moja kwa moja wakazi wa mji huo.

Mungu ibariki CHADEMA.

View attachment 2559802

Retired
Ni jambo jema,

Bt jitihada za kuandikisha Wanachama wapya ziongezeke sababu zaidi ya 75% ya Watanzania hawana chama chochote Cha siasa.
 
Chadema na CCM ni mtu na Dada yake maana wote wakikutana wanampamba Mama Samia..hapo Sawa na mtu katoka chumbani kaja sebuleni utasema amehama nyumba.
Yashakuwa hayo ?
 
Back
Top Bottom