Tanga waenda leo warudi leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanga waenda leo warudi leo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by jitu la kale, Jun 7, 2011.

 1. j

  jitu la kale Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 69
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Jaman wadau naomba kujua huu msemo na umeanzia lini na kwann upo, "TANGA WAENDA LEO WALUDI LEO"
   
 2. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  full msemo ni hivi:

  WAJA LEO WAONDOKA LEO,KISHA WANTAKA,AKHUUUU SITAKI MIE'.

  Jitu la kale sasa umeelewa maana yake? mambo ya Pwani hayo ati,chapati shurti kwa mchuzi sio chai.
   
Loading...