Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 42,654
- 50,612
🙏Welldone mkuu, Safi sana maana dot.com always wanapenda kutafuniwa kila kitu, why hawatafuti kwanza information?,google ipo tutumie
🙏Welldone mkuu, Safi sana maana dot.com always wanapenda kutafuniwa kila kitu, why hawatafuti kwanza information?,google ipo tutumie
Utafiti gani umefanyika kuthibitisha hili?,ni tatizo la nchi yetu kukimbilia majibu rahisi, tunaishi dunia ambayo binadamu na wild animals we need kuishi pamoja, we just need to RESPECT wild animals, hapo Kasane town wild animals wapo mjini ila wana corridors zao, na wild animals wana rights of the way unapo cross nao, pale Mikumi National Park ningekua mimi,ningepanua Ile barabara, pande zote mbili ninge clear kwa zaidi ya 20m(hii itawafanya wanyama wadogo kama swala wasiwe kwenye mazingira ya barabara maana watakua exposed),uchafu wa matuta yale ningetoa, fixed speed camera ningejenga, RIGHT of Way ipo kwa wanyama, tukifanya haya ajali za wanyama zitapungua mno na sio rocket science kabisa
Inapitia kitetoHabari za mida hii,,,Kama kichwa kinavyosema nataka kupata uzoefu kwa waliowahi kupita njia ya handeni kwenda singida kutokea tanga maana naskia ni njia fupi,, Hali ya barabara ikoje? nataka niende kwa private car maana kuzungukia Moshi naona ni mbali sana ukizingatia mafuta yamepanda,,msaada tafadhali
Mawazo yako ya nafaa kwa zile first world countries ndo watakao kuelewa respect ya wanyama ni ipi na umuhimu wake ni upi, sio hapa kwetu tunako rusha mawe hata kwa mbwa anae tembea zake.......idea nzuri but to the wrong audienceUtafiti gani umefanyika kuthibitisha hili?,ni tatizo la nchi yetu kukimbilia majibu rahisi, tunaishi dunia ambayo binadamu na wild animals we need kuishi pamoja, we just need to RESPECT wild animals, hapo Kasane town wild animals wapo mjini ila wana corridors zao, na wild animals wana rights of the way unapo cross nao, pale Mikumi National Park ningekua mimi,ningepanua Ile barabara, pande zote mbili ninge clear kwa zaidi ya 20m(hii itawafanya wanyama wadogo kama swala wasiwe kwenye mazingira ya barabara maana watakua exposed),uchafu wa matuta yale ningetoa, fixed speed camera ningejenga, RIGHT of Way ipo kwa wanyama, tukifanya haya ajali za wanyama zitapungua mno na sio rocket science kabisa
Kipande cha handeni - Turiani hakijakamilika ..pia njia inayotokea uelekeo wa kiteto to kondoa kama sio mzoefu na gari yako ni ya chini (sedan au hatchback sio SUV au pick up ) Bora upite Moshi Arusha babati .. unaweza kulenga saving ya mafuta ukaingia gharama ya service afterwards.Habari za mida hii,,,Kama kichwa kinavyosema nataka kupata uzoefu kwa waliowahi kupita njia ya handeni kwenda singida kutokea tanga maana naskia ni njia fupi,, Hali ya barabara ikoje? nataka niende kwa private car maana kuzungukia Moshi naona ni mbali sana ukizingatia mafuta yamepanda,,msaada tafadhali
Motivational speakers hua hamkosekani.Common mkuu real?,muda mwingine ni vema kutulia na kujifunza,sio lazima kila mada uchangae,kama hujui T1 ni nini pls jisalimishe pale immigrations kurasini na vitambulisho vyako vyote
Sio barabara nzuri sana,Handeni - Kondoa via Kiberashi,Kijungu,Kibaya(kiteto) 282KmHabari za mida hii,,,Kama kichwa kinavyosema nataka kupata uzoefu kwa waliowahi kupita njia ya handeni kwenda singida kutokea tanga maana naskia ni njia fupi,, Hali ya barabara ikoje? nataka niende kwa private car maana kuzungukia Moshi naona ni mbali sana ukizingatia mafuta yamepanda,,msaada tafadhali
Trunk road oneT1 maana ake ni nini?
But hii kitu mkuu nimeiona hapo Botswana 🇧🇼, from Nata to Kasane almost 300km ni eneo la mbuga ya wanyama hili eneo Lina wanyama wengi hasa Tembo,nyati na hakuna tuta hata moja, barabara ni safi na pia kuna air strips kwa vindege vidogo kutua na kuruka, visibility ni safi mno maana both sides of the main road, (A3) limekuwa clean out ,20m ,sisi nasi tunaweza fanya hivi kwa zile 50kms za mikumi national parkMawazo yako ya nafaa kwa zile first world countries ndo watakao kuelewa respect ya wanyama ni ipi na umuhimu wake ni upi, sio hapa kwetu tunako rusha mawe hata kwa mbwa anae tembea zake.......idea nzuri but to the wrong audience
Ni vizri tunaweza kufanya hivo ila sio kipaumbele cha chama tawalaBut hii kitu mkuu nimeiona hapo Botswana [emoji1052], from Nata to Kasane almost 300km ni eneo la mbuga ya wanyama hili eneo Lina wanyama wengi hasa Tembo,nyati na hakuna tuta hata moja, barabara ni safi na pia kuna air strips kwa vindege vidogo kutua na kuruka, visibility ni safi mno maana both sides of the main road, (A3) limekuwa clean out ,20m ,sisi nasi tunaweza fanya hivi kwa zile 50kms za mikumi national park
Iyo barabara wanaendesha wazoefu wa road la sivyo utaiacha gari porini
nimepita hiyo jana kutoka mkata to handen kibaoni theni mziha nikatokea turiani hapo kati kuna njia panda panaitwa kange ndio pataamua unataka kutokea handen au korogweHabari za mida hii,,,Kama kichwa kinavyosema nataka kupata uzoefu kwa waliowahi kupita njia ya handeni kwenda singida kutokea tanga maana naskia ni njia fupi,, Hali ya barabara ikoje? nataka niende kwa private car maana kuzungukia Moshi naona ni mbali sana ukizingatia mafuta yamepanda,,msaada tafadhali
Shukran mkuu,,Sio barabara nzuri sana,Handeni - Kondoa via Kiberashi,Kijungu,Kibaya(kiteto) 282Km
Kondoa - Singida via Isijaa,Mung'aa,Round About 159km
NOTE: Barabara vumbi tupu na rasta,ukipata breakdown ni msala
Ipo na ipo mbioni kuwekwa lamiUwepo wa hiyo njia ndio nausikia leo.
Hii ya singida hupitii dumila unatokea maeneo ya kondoa nadhani unatoboa mpaka singida