Tanga Sirudi Tena...

Sirudi tena Tanga.........kaka mentor ktk kiwango cha hali ya juuu........kuna visa lakini huu ni mkasa. Hii stori huwa hainichoshi....huwa napiga misele,nikutulia najikumbusha......
 
nimejifunza si kila ukipata nafasiugegede....we kuwa kauzu hata ukiitwa boya...usijeukwaaa....nimejifunza aisee story nzurii sana.....
 
Tanga kuna Forodhani toka lini au umaarufu wa urojo.....

Kwani panaitwaje pale tena jamani..au nshasahau...opposite na zile club...mpaka umenifanya nizisahau majina!
 
Daah hii story! Inatisha niliwahi ambiwa na Dr fulani kuwa kiukweli virusi havipo ktk maji maji ya mwili ila km mtajamiana kwakuchubuana alafu damu au nyama zimekutana hapo ndo utapata virusi vya kutosha. Ndo maana ukakuta wanandoa moja anayo mwingine hana. Hasa wanaume wenye uume Mdogo wana uwezekano wa kutoaathirika kwa haraka. Pia mwanamke mwenye uke mpana wenye majimaji kwa ndani ana asilimia ndogo ya kuathirika
 
Paragraph ya mwisho umeanza kwa utata kidogo ila baadae ukarudi kawaida. Hahahaaaaaaa...ina fundisho fulani ndani yake.
 
Mata....Bar wanasemaje huko?
Waambie waondoe Security Camera kule chooni...
 
Mata....Bar wanasemaje huko?
Waambie waondoe Security Camera kule chooni...
Am glad to hear this story the same period kuna mshikaji wangu wa karibu sana alipitia hali Kama hii ya kwako tukahangaika sana kumtuliza na kumshauri arudi Dar ambako hajulikani sana. .............If this is a true story congrats brother but if not I pray for my friend nae apate ujasiri wa kupima
 


Mwambie apime tu...this is a VERY TRUE story (and am not joking here...location tu ndo tifauti).

Halafu siku hizi mentor nimegundua theory kuwa, "KUPATA UKIMWI NI HADI ULOGWE"
 

Mentor nina wasiwasi na hii story ni ya kutunga kwa ajili ya kututanabahisha si mbaya imepangika vizur sana kuna wakati nilitaka kukatisha kuisoma nimehisi maumivu makali sana ila imetoa somo la kutosha sana.

Lakini lazima ufahamu kwamba umeboronga kwenye hii story mana mara mumeenda forodhani kula urojo na kuna wakati muko mkwakwani Tanga. halaf hii ''la chica'' ''la vida'' haya maneno ni Spanish words nadhan pia ulitumia katika kupamba hii story nayafahamu vilivyo.
 
Mwambie apime tu...this is a VERY TRUE story (and am not joking here...location tu ndo tifauti).

Halafu siku hizi mentor nimegundua theory kuwa, "KUPATA UKIMWI NI HADI ULOGWE"
Mbona unaharibu tena somo ulilotoa kwa vijana rombo ndadi??? Kulogwa ni nini
 


Mkuu mr.London, hii habari ni ya kweli kabisa! Nilichokibadilisha ni mahali tukio lilipotendeka.

Hata hivyo, hayo maeneno niliyoyataja yote yapo Tanga.
 
mkuu Mentor huu mkasa tunaomba episode ya pili yake. Je Aneth anaendeleaje? Je Sue wako naye bado unaye? ankal shabani nae hali yake vipi...?
 
Pole sana mental ndo dunia
Nilikaa korogwe 2001 kuna watoto wakali sana mashombe wa kumwaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…