Tanga Raahaa

Tanga Raahaa

X-Agent

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
8,991
Reaction score
17,127
Kwakweli mapenzi yalizaliwa Tanga, wengine wote wanaigaa, hapa nijinsi ninavyotengewa vitafunwa vya chai, sio wale wengine wakutilia kwenye chungu!

FB_IMG_15276756983481234.jpg
 
Huyo atakua amekamatwa wakati anaiba vitafunwa. Tanga Mungu anawaona.......
Sasa ndio hadi cake ziwekwe kama mkufu mkuu....hiyo ni maujanja yakuongeza mahaba
 
Halafu sijawahi kuwaza kama na wewe vvm ni mchokozi kiasi hiki aiseee.

Cha kwanza Tanga hakuna mtu anapika chapati ya aina hiyo kimuonekano.
@hajar muonekano wa chapati badoo . ...mtoto ni mbichi hajazoea mapishi ila kwa hizi technique za uaandaji hakia.....inavumilika kabisa!
 
Ndugu, hizo zilizosokomezwa huko kwa down nazo ulikuwa unakamua kama kawa?
 
Ndugu, hizo zilizosokomezwa huko kwa down nazo ulikuwa unakamua kama kawa?
Hizo ndio zenyewe mkuu zinaliwa mwishoni kabisa maana baada ya hapo yajayo hufurahisha.....
 
Back
Top Bottom