Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,310
ningekuelekeza ila naona unataka kwenda ntilia fitna huko
Sipendi uwe mtabiri sina nia hiyo nia yangu ni njema na pengine tukaunga udugu who knows?
Wasalimie pale Nguvumali bucha!!!
UNFORTUNATELY,Tanga for all its past granduers,ni mkoa ambao at least unge marktime tungeelewa,but unfortunately it is in decline sasa sijui sababu sons and daughters wote mmekimbia?It pains me a region of historical importance simple sinking into oblivion.
Binaadam wote ndugu au huukubali huo msemo,karibu sana Tanga
Kuna udugu wa kibinaadam kwani sote ni watoto wa Adam niutakao mie udugu wa damu si wa adamu. Asante nipikie bada mchuzi chukuchuku wa kuku wa kienyeji ngogwe za kuchoma na papa na miswele.
ningekuelekeza ila naona unataka kwenda ntilia fitna huko
Hapooo!!!!Sipendi uwe mtabiri sina nia hiyo nia yangu ni njema na pengine tukaunga udugu who knows?
Hapooo!!!!
ndio fitna zenyewe nilizomaanisha na huku kasahaniita mchina
Boooo kwa hicho bado kigori nkivunja ungo tu ntakutafutaBasi yaishe naomba kideti!
Basi yaishe naomba kideti!
Mohamed una undugu na Fatma, Sharrif Shossi wa Korogwe, karibu na stend na ile Safari Park Hoteli ya Zamani?
I see, vizuri sana wapo wapi hawa ndugu zangu Sharif na Fatma? , nilisoma nao pale Boma Primary School.Malau, Saburia, Amina, Marehem Shossi na Mwanaisha yes ni watoto wangu mimi baba yao mdogo!
Kaka mbona unaharaka, kama kweli wapajua Tanga basi inshalah kila kitu chapatikana ati wewe ukifika nenda sehemu inaitwa nyinda maeneo ya chuda au Co fee bar ulizia Real Madrid, Chelsea, Man u au Arsenal haja yako yote itakuwa imekamilika. Ukipata huduma hapo unaenda zako Tanga beach resort kuosha nyota.