Hahahaa...Tuna week sasa hapa nyumbani. Ugomvi wa kifamilia dogo kamaliza masomo yake tanga lakini amegoma kurudi.. Anadai atafutiwe kazi au biashara yoyote. Yeye ameamua kufanya maisha yake yote tanga.
Dada tanga dunia nyingine.Be proud of your wife no matter what.......ulimuoa kwa kuwa ulimuona she was perfect for you......yani kwa kuwa ulibebwa ndo umuache mdada wa watu....not fair
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kule nyanda za juu kusini ukipeleka mchumba kutoka Tanga ndugu wanakukatalia kabisa.
Ukikomaa wanaweza wakakufuta hata Kwenye list ya ndugu yao.
Kuna mzee alinisimulia kuwa miaka ya nyuma kuna mwanaume alienda Tanga Kwenye mkonge akaacha mkewe na watoto.
Hakuonekana Kwa muda mrefu.
Akatumwa mdogo mtu kumtafuta naye hakurudi tena
Akatumwa mtoto wa Kaka yake naye hakurudi tena.
Akatumwa binamu naye akapotea
Mjomba vile vile.
Baadaye akatumwa dada mtu.
Kufika huko kakuta ndugu Zake wameoa na Wana familia huko na hawana mipango ya kurudi.
Yeye Ndio akarudisha hiyo taarifa.
Ukawa mwanzo wa kuogopwa Kwa wake wa Tanga. Na ukipangiwa kazi Tanga ndugu wanaanza kuogopa kukupoteza
Ukweli mtupu.Mambo ya akina NIMPENDENANI.
farkhina Unguja mna hayo maujuzi? Nasikia akina Mama wa Kipemba walishawahi kuandamana wakilalamika Waume zao wanapoenda kuvua Bahari ya Tanga wanalowea kabisa
Whats so special huko tanga kiasi cha kufanya mkawaacha wake zenuDada tanga dunia nyingine.
Tuzi ndo nin?Tanga balaa, ila sasaivi wameongeza na tuzi. unapewa tuzi mpaka basi yani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]kabla sijaolewa ntachukua mwezi mmoja niende lusanga kwa bibi na shangazi wakaniongezee maujuzi ya kumhandle mume..
huyu mwanaume atanikoma!
lusanga sehemu ganikabla sijaolewa ntachukua mwezi mmoja niende lusanga kwa bibi na shangazi wakaniongezee maujuzi ya kumhandle mume..
huyu mwanaume atanikoma!
viuno unavijua weye? na kamatia chini unaimudu?Whats so special huko tanga kiasi cha kufanya mkawaacha wake zenu
sijaona msunga hapo?Chezea tanga weyee
Nenda ukone usisubiri kusimuliwaWhats so special huko tanga kiasi cha kufanya mkawaacha wake zenu
Haha jamaa anajifia kurogwa mchana mchana ametuliaKweli mkuu ulikamatwa na ulirogwa mchana kweupee!