Tanga miaka ya themanini lazima ulowee

hahahahahah hatari sana...., umetubania aisee, yani umetuhadithia jinsi ulivyokamatwa ila kukamatwa kwenyewe umetubania [emoji28][emoji28]
 
hahahahahah hatari sana...., umetubania aisee, yani umetuhadithia jinsi ulivyokamatwa ila kukamatwa kwenyewe umetubania [emoji28][emoji28]
Sasa mtihani ukipewa majibu utakuwa mtihani tena mkuu [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Ulikuwa Ubwari Field Station?
 
Mapenzi matamu sana ya kitanga
Nilienda Moro kusoma A Level wamejaa watoto wa kitanga wazuriiiiiii
Nishajilia kama 8 hivi had nifikishe 20 yrs nafikisha 25😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…