General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,187
- Thread starter
- #61
MAMVI katoa mpya TANGA
Ahutubia kwa SEKUNDE zisizozidi 5 akarudi kukaa.
mambo ni hamshahamshaaa!!!
HahahaHuyo anayepiga piga push up namkubali kshenz..., anajua kuchangamkia fursa. Anajua ipo siku Mbowe atamuona kwa hiyo ata
lamba dume Bilicanas
Nahisi Haja Kubwa Ilikuwa Inaanza Kumtoka. Vipi Hapo Alipokuwa Ameketi Inzi Hawakuwa Wakipiga Jaramba?
Kwa vurugu walizofanya Tanga,Kupata kura ni kazi.Wakati CCM ilifanya mikutano miwili mikubwa,hakukutokea vurugu zozote,CCM wastaarabu sanaLowasa anasubili kiapo cha kuingia ikulu tu..
Mimi sio muuza duka na sikai Tanga wala sio mkazi wa Tanga na sijawahi fika Tanga, nina smartphone na nipo njiani narudi hom baada ya shughuli za ujenzi wa taifa.
Mpumbavu anayeacha kufanya kazi na kwenda kumuangalia mtu asiyeweza kuongea hata dk 10.
WATANZANIA TUMESHAAMUA RAIS NIAGUFULI, tunasubiri aapishwe kisha aende tulikompangisha, IKULU.
Sio kweli watanzania rais wetu ni Lowassa huyo komredi Kipepe akaongoze barabaraMimi sio muuza duka na sikai Tanga wala sio mkazi wa Tanga na sijawahi fika Tanga, nina smartphone na nipo njiani narudi hom baada ya shughuli za ujenzi wa taifa.
Mpumbavu anayeacha kufanya kazi na kwenda kumuangalia mtu asiyeweza kuongea hata dk 10.
WATANZANIA TUMESHAAMUA RAIS NIAGUFULI, tunasubiri aapishwe kisha aende tulikompangisha, IKULU.
kama wewe nilivyokupa mpini mpaka ukachafuka huko nyuma?Nahisi Haja Kubwa Ilikuwa Inaanza Kumtoka. Vipi Hapo Alipokuwa Ameketi Inzi Hawakuwa Wakipiga Jaramba?
kama wewe nilivyokupa mpini mpaka ukachafuka huko nyuma?
Kazi hamna ndugu yangu..kama kazi zenyewe mnapeana kiundugu sis wengine ndio jobless kaka Angalia ukoo wote wenye majina ya Kikwete wanakazi, Ukoo wa Makamba, ukoo wa Mwinyi, Mkapa nk sasa sie ukoo wetu hauko kwenye hayo majina Ndio maana tunataka Lowassa atengeneze ajira na hatutaki hela anazosema Magufuli za milioni 50 kila kijiji..Sisi tunataka nyavu na sio samaki mkuuHuu ni upumbavu uliotukuka, unaacha kazi na kwenda kumuangalia mtu, watoto watakula nini? ndioaana Tanga bado sana.