General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,187
Hii ndio tanga kunani, mbona kila kitu (viwanda, bandari, elimu, barabara) kimekufaaa!!
Leo rais mtarajiwa anatikisa jiji hili, ambapo mpaka sasa maduka yote hapa barabara ya 12, 13, 17, 11 yamefungwa kumsubiri lowassa.
Watu ni nyomi kutokea jengo kuu la ccm mkoa mpaka tangamano uwanjani ni full shaziii!!!!
Bodaboda, magar ni full warawaraa!!! yaani kwa kifupii tuseme ni sheeeeeeeeedaahhhhh!!!
Nimekosaa sehemu ya kupita kuonesha umati lakini muda si mrefu kamanda wangu atanitumiaa nitazimwagaaaa!!!
Hakuna mziki, hakuna msanii, hapa ni mabadilikoooooo!!!
Updates:
Lowassa anasalimiaa, watu wanashangilia mpaka wengine wadondokaa chini kwa kukosa hewa kutokana na wingi wa watuu.
Mkutano umehairishwa kutokana na wingi wa watu.
Watu ni wengi mpaka stendi na barabara zote kujaa na kusababishwa wengine kuzimiaa.
Mkuu wa polisi kaomba mkutano huairishwe mpaka uwanja mkubwa upatikane.
Kiukweli sijui hawa watu wametokeaa wapi, mana nikifananisha na ile shazi ya jangwani naona zinakaribianaa, sijawahi ona umati kama huu tangaa!!