mukulupapaa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,930
- 1,734
Mimi sio muuza duka na sikai Tanga wala sio mkazi wa Tanga na sijawahi fika Tanga, nina smartphone na nipo njiani narudi hom baada ya shughuli za ujenzi wa taifa.
Mpumbavu anayeacha kufanya kazi na kwenda kumuangalia mtu asiyeweza kuongea hata dk 10.
WATANZANIA TUMESHAAMUA RAIS NIAGUFULI, tunasubiri aapishwe kisha aende tulikompangisha, IKULU.
sasa hapa mpumbavu nani?wewe unayebwabwaja au yule aendaye kumuona Rais mtarajiwa?halafu kuongea ndo nini katika utendaji?au Ikulu siku mmezindua Modern Taarabu?inaitwaje vile mkuu