Tanga Maduka yote yafungwa kumsubiri lowassa!!

Tanga Maduka yote yafungwa kumsubiri lowassa!!

Aiseee duuuhh tanga rahaaa sanaa tuwekee na picha za watoto wa kitanga tujifauduuu
 
Nyingine hizo
 

Attachments

  • 1443449329632.jpg
    1443449329632.jpg
    56.9 KB · Views: 639
  • 1443449346626.jpg
    1443449346626.jpg
    53.7 KB · Views: 635
Huu ni upumbavu uliotukuka, unaacha kazi na kwenda kumuangalia mtu, watoto watakula nini? ndioaana Tanga bado sana.
Sio kweli maduka hatakufungwa,hayo maduka mawili yamefungwa kwa wenyewe kuogopa vurugu,na kuweza kuibiwa,shughuli zinaendelea kama kawaida,angalia CCM Iringa
 
Nasikia kuna hati hati mkutano ukaairishwa watu ni wengi mno wanaogopa stampede
 
Hamna kitu. Tanga ngome ya ccm. Hao si wapiga kura bali wapiga kelele. Jiandae kukubali matokeo. ( Kauli ya mwanaccm mmoja hivi nikatamani nimkojolee usoni)


Ila wale wanaopandishwa malori ndio wapiga kula au wapiga kura...?.

Nyambaaaaaf...!!.
 
Hii ndio tanga kunani, mbona kila kitu (viwanda, bandari, elimu, barabara) kimekufaaa!!

Leo rais mtarajiwa anatikisa jiji hili, ambapo mpaka sasa maduka yote hapa barabara ya 12, 13, 17, 11 yamefungwa kumsubiri lowassa.

Watu ni nyomi kutokea jengo kuu la ccm mkoa mpaka tangamano uwanjani ni full shaziii!!!!

Bodaboda, magar ni full warawaraa!!! yaani kwa kifupii tuseme ni sheeeeeeeeedaahhhhh!!!

Nimekosaa sehemu ya kupita kuonesha umati lakini muda si mrefu kamanda wangu atanitumiaa nitazimwagaaaa!!!

Hakuna mziki, hakuna msanii, hapa ni mabadilikoooooo!!!


Update:

Mkutano umehairishwaa kutokana na wingi wa watu.

Watu wamejaa barabarani, hakuna sehemu ya kupita, wengine wazimia kwa kukosa hewa, hivyo mkutano umehairishwaa ili kupata uwanja mkubwa ambao upo dongee.
 
Mimi sio muuza duka na sikai Tanga wala sio mkazi wa Tanga na sijawahi fika Tanga, nina smartphone na nipo njiani narudi hom baada ya shughuli za ujenzi wa taifa.
Mpumbavu anayeacha kufanya kazi na kwenda kumuangalia mtu asiyeweza kuongea hata dk 10.
WATANZANIA TUMESHAAMUA RAIS NIAGUFULI, tunasubiri aapishwe kisha aende tulikompangisha, IKULU.

Hah, heh, nilifikiri una msimamo huru post yako ya mwanzo kumbe una hasira kwa vile wameenda kwa Lowasa badala ya Magufuli!?
 
Mimi sio muuza duka na sikai Tanga wala sio mkazi wa Tanga na sijawahi fika Tanga, nina smartphone na nipo njiani narudi hom baada ya shughuli za ujenzi wa taifa.
Mpumbavu anayeacha kufanya kazi na kwenda kumuangalia mtu asiyeweza kuongea hata dk 10.
WATANZANIA TUMESHAAMUA RAIS NIAGUFULI, tunasubiri aapishwe kisha aende tulikompangisha, IKULU.

Wewe inakuuma nini mtu kuacha shuhuli zake akaenda kufanya anachopenda, lini walikuja kukuomba hela ya matumizi.......tulia na Magufuli wako waache wengine nao watulie na wao.
 
Update:

Mkutano umehairishwaa kutokana na wingi wa watu.

Watu wamejaa barabarani, hakuna sehemu ya kupita, wengine wazimia kwa kukosa hewa, hivyo mkutano umehairishwaa ili kupata uwanja mkubwa ambao upo dongee.

...etii, mkutano umeahirishwa kwa sababu ya wingi wa watu.? tena tanga.?!
hakika lowassa ni hatariii....
#ulipotupo!
 
Update:

Mkutano umehairishwaa kutokana na wingi wa watu.

Watu wamejaa barabarani, hakuna sehemu ya kupita, wengine wazimia kwa kukosa hewa, hivyo mkutano umehairishwaa ili kupata uwanja mkubwa ambao upo dongee.


Hatari sana teh teh...!!.

Huyo ndio Rais bila ya ubishi mamitto.

Ni hatari mno.
 
Lowasa anasubili kiapo cha kuingia ikulu tu..
 
Back
Top Bottom