Kati ya mikoa niliyo na historia nayo basi ni Tanga.Tanga Ndunia bwana ukimisikia mdigo akiwa anaongea ananipa raha sana, sasa ukutane na ubish wa msambaa hata kama hajui kitu utafurah wewe.
MWEMBE MAWAZOKati ya mikoa niliyo na historia nayo basi ni Tanga.
Anzia Amboni nenda hadi raskazone nyooka mikanjuni,sahare pongwe,usagara.
Kuna mzee mmoja pale mwembe wa(nimeusahau jina) Chumba geni alikuwa anauza miwa nilizinguana na konda na dereva akanisaidia nimerudi baada ya miaka sita nikamkuta nadhani hadi sasa kama hajafariki atakuwepo pale.
Hukuwahi kwenda Kwabibi beach bubu kule Mwambanimhh wala sion uzur wa tanga hakuna hata pa kwenda kwa kweli zaid ya tanga beach na mkwabi bas mji mzima sehem mbili tu
Nenda lavidaMwenye ramani ya tanga,mambo yetu yalee ya kwenye jukwaa la chini kabisa,yaani jukwaa la watoto yanapatikana wapi hapa tanga mjini,
cc lokiyo na wengine.
Tanga ya ajabu sana, nimeishi huko miaka mi5, kuhusu wanawake wazuri wapo sana ila ukitaka kumpata had I utumie Dalali. Wamama wa saloon au taxi drivers. Hivi hivi hupatiNipo tanga kwa sasa kwenye mishe zangu,hawa jamaa wa huku,wanawake kwa wanaume wote kiswahili lainiiiiiiii! Unaweza jua wote wana,,,,,,,,,,e؛
-wanajisikia sana mtu unamuuliza kitu anakujibu kama hataki.
_wakiwa mikoa mingine wanawake full kutoa papuch,sijui huku kwao,maana mpaka sasa sijala papuch za huku,nikiwa huku.
Nyie wanaume wa tanga hebu ongeeni kiume,wantariza ndio nini sasa?
Madame s,na wengine wana jf mliopo tanga mbona kimyaa?
_wanafanya biashara kama hawataki vile.
Bado nipo huku mpaka mwaka ugeuke,nikiona mizinguo nasepa fasta,weekend nakwenda pangani.
ahahaha pole mkuu, itakua unadomo kila 50, mbona watoto wa Tanga wapo simple.Tanga ya ajabu sana, nimeishi huko miaka mi5, kuhusu wanawake wazuri wapo sana ila ukitaka kumpata had I utumie Dalali. Wamama wa saloon au taxi drivers. Hivi hivi hupati