Tanga kunani pale-nature reclaims!

Tanga kunani pale-nature reclaims!

Majoja

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
612
Reaction score
188
Maintainance culture ni matatizo hapa bongo.
Tembea tembea zangu huko Tanga nikaona godown la enzi ya mkoloni likimezwa na mti ambao ulianza kama kichaka tu.
Tanga nature reclaims.JPG
 
Tanga ina hudhunisha, aslimia 90 ya viwanda vimekufa, reli haifanyi kazi, Mji wa Pangani ndio taabani?
Ni sehemu isiyo na matumaini?
 
ngomambili, majengo kama haya yametapakaa nchi nzima, ww hustaajabu miradi ya DDC majengo yalivyochoka ? tatizo ni mfumo
 
Si ndio mnataka kutunza historia ya ukoloni? nyie watu hamna jema wakivunja mnataka kuandamana wakiyaacha mnapiga kelele
 
Isije ikawa ni nyumban kwa bibi then unatuambia ni godown la mkolon!
 
Back
Top Bottom