Tanga kunani 28th - 30th Dec 2012

Maeneo hayo ndo nilikuwa tukila bata mpaka kuku wakaona wivu!!!
 
Nikaenda kuchota maji na baiskeli..dah kuna umbali huko!!!

ila baadaye tukajinafasi kwenye mkeka kupata kitu Pilau ya mbuzi...hehe chezea sikukuu bila pilau wewe!:cheer2:
 
Filipo;;Tanga kwetu ihami,,,,,,,,Mkuu unakumbuka kauli hiyo????????
 
Last edited by a moderator:
Nimekusoma Babu Dark City .
Nami nakutakia wewe pamoja na familia yako Mwaka Mpya Mwema.....

NOTE: Filipo hajakiri kwamba dozi ni kubwa Babu... Vijana wa sasa sio kama wa enzi yenu... Lazima wapelekwe mchakamchaka.....


Uwiiiii.......!!!

Ndo maana mie nakula pension yangu. Mchakamchaka kama ule wa jeshini nitauweza wapi mie?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Uwiiiii.......!!!

Ndo maana mie nakula pension yangu. Mchakamchaka kama ule wa jeshini nitauweza wapi mie?

Heri ya Mwaka Mpya Babu DC.

Mchakamchaka wa JKT kabisa....... Nikijidai nimezubaa ndio utasikia naja kwako nikilalama, oh Arabela mara sweetlady mara Smile wana urafiki na mume wangu unaotia mashaka ...Ngoja nikomae nae nione mwisho ukoje.....
 
Last edited by a moderator:
Mmeambiana kwamba msijitoe sura zenu nini? Mbona mwapiga mipicha ya mijivuta na mijisehemu mijisura yenu mbona hamuuzi?
 
Mmeambiana kwamba msijitoe sura zenu nini? Mbona mwapiga mipicha ya mijivuta na mijisehemu mijisura yenu mbona hamuuzi?

Picha zetu ziliungua tu, mara baada ya kupanda gari kurudi Arusha..... Tulibakiwa na hizo pamoja na hii moja yenye jina tu....
 

Attachments

  • filipo.jpg
    1.2 MB · Views: 60
Heri ya Mwaka Mpya Babu DC.

Mchakamchaka wa JKT kabisa....... Nikijidai nimezubaa ndio utasikia naja kwako nikilalama, oh Arabela mara sweetlady mara Smile wana urafiki na mume wangu unaotia mashaka ...Ngoja nikomae nae nione mwisho ukoje.....


Ahsante sana marejesho,

Heri ya mwaka mpya na kwako pia,

Mie sina neno la nyongeza....

Ni jukumu la kila abiria kuhakikisha mzigo wake wa ndani uko intact....

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…