Wadau naomba mnijuze hivi ni vigezo gani hutumika kuipa hadhi halmashauri ya manispaa kuwa jiji.Naomba kuwasilisha
Wadau naomba mnijuze hivi ni vigezo gani hutumika kuipa hadhi halmashauri ya manispaa kuwa jiji.Naomba kuwasilisha
Kipi kimekuvutia zaidi ndugu!Moja kati ya miji niipendayo zaidi duniani.....Tanga raha
Kipi kimekuvutia zaidi ndugu!
Tanga amkeni ninyi acheni umwinyi Jiji halina hadhi
Sifa za kuitwa jiji rejea vigezo vya halmashauri...kwa tanga kuitwa jiji ilistahili sema uzo unaofanya na viongozi wa serekali tanga ni wa wakutisha kuna ufisadi mbaya sana kuazia ujenzi wa miundomindi katiks mji hadi ugawaji wa zabuni nashangas wakazi wa tanga wanakuwa na kingungumizi kulisema hili watu wamelala sana siyo upande wa vyama vya siasa hadi mashirika ya kiraia.
Kwa sababu yoyote ile, uamuzi wa kuifanya Tanga kuwa jiji kabla hata ya miji mikubwa ulikuwa wa kisiasa zaidi!
Kwa sababu yoyote ile, uamuzi wa kuifanya Tanga kuwa jiji kabla hata ya miji mikubwa ulikuwa wa kisiasa zaidi!