Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Da😭😭 Jana mimi nimepanda la kutoka Mwanza pale CBE Dodoma Aisee acha tu.Unatakiwa kupanda hayo ukiwa huna ndugu, mke au watoto wanaokutegemea.
Pole nyingi kwa wafiwa na majeruhi.
Zamani kulikuwa na ndege! Ila ilipataga ajali maeneo ya MorogoroItafutwe namna nyingine ya kusafirisha magazeti
Hawajapata tena nyingine kwa hiyo?Zamani kulikuwa na ndege! Ila ilipataga ajali maeneo ya Morogoro
Ufumbuzi ni nakala kuchapishwa kwa njia ya mtandao.Pole mno kwa wote walioguswa na ajali hii, ninajuuliza dunia ya sasa faida ipo wapi kwa wasafirishaji wa magazeti haya na wachapishaji?let's say unapeleka nakala 10,000 za magazeti kanda ya kati, mbona gharama ni kubwa mno kuliko faida na huna uhakika kama nakala zote zitanunuliwa, ni wakati wa kuja na ufumbuzi mwingine hapa.
Agreed au watumie ndege za ATCUfumbuzi ni nakala kuchapishwa kwa njia ya mtandao.
Bado. Awajaipata ingine- ilikuwa ya mtu binafsi alikuwa anaikodisha kwa makampuni ya magazeti. kuna aja Serikali ikaingilia kati hili maana kila Mara hizi gari zinapoteza watu 😭 Mfano makampuni ya magazeti yakapewa mkopo wakanunua ata Cessina ya 300 millions ikawa inasambaza magazeti toka saa nne usiku mpaka ikifika alfajiri inarudi DarHawajapata tena nyingine kwa hiyo?
Pole kwa Marehemu wote, wazazi, ndugu, Jamaa, marafiki na taifa kwa ujumla.Gari aina ya Toyota Hiace lililokuwa likisafirisha magazeti toka Dar es Salaam kwenda Arusha limepata ajali usiku wa kuamkia Leo eneo Mkata mkoani Tanga. Dereva wa gari hilo na mtu mwingine wanasadikika kupoteza maisha.
View attachment 2348734
Hizi mashine dah!
Unadhani wenyewe hawapendi kutumia ndege mkuu tatizo ni gharama hawatapata faida.shida ni sisi wenye viherehere utapandaje gari ya magazeti?Bado. Awajaipata ingine- ilikuwa ya mtu binafsi alikuwa anaikodisha kwa makampuni ya magazeti. kuna aja Serikali ikaingilia kati hili maana kila Mara hizi gari zinapoteza watu [emoji24] Mfano makampuni ya magazeti yakapewa mkopo wakanunua ata Cessina ya 300 millions ikawa inasambaza magazeti toka saa nne usiku mpaka ikifika alfajiri inarudi Dar