TANGA: Dereva wa OCD afariki akiwa kwenye msafara wa Naibu Waziri

Wakulyamba alisema askari huyo alipatwa na umauti juzi majira ya saa 12 jioni na kwamba sababu za kitaalamu za kifo hicho ni kuugua ghafla.

Is that all!!!? hakuna masikitiko wala neno juu ya dereva wake kama alikuwa mchapakazi, mwadilifu nk!!?
Ni watu gani hupaswa kusemewa maneno hayo kama siyo watendaji wa kada ya chini, au mchango wa madereva hauthaminiwi?
 
R. I. P Kamanda..
Mawazo mengi + Muda mdogo wa kupumzika + Kutumikishwa ovyo hadi kwenda kinyume cha sheria +mshahara kuchelewa ukizingatia ana tegemezi wengi...

Mkuu umenichekesha hayo matatizo yalivyo fuatana. Yote kwa yote Mungu asamehe Kamanda huko aendako, ameen.
 
Huyo naibu waziri ana jina na wizara yake haijulikani?
Rejea thread mwanzo mwisho mkuu.

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Juma Aweso na picha yake ni hii
35521c7cf2c7d410dad143f0f67cd418.jpg
 
Apumzike panapostahili. Hawa watu wetu wa usalama wawe wanapimwa afya mara kwa mara. Hii ni hatari sana, nawaza ndio wangekuwa road kwenye mwendo
 
Apumzike panapostahili. Hawa watu wetu wa usalama wawe wanapimwa afya mara kwa mara. Hii ni hatari sana, nawaza ndio wangekuwa road kwenye mwendo
Aisee.. Ingekuwa hatari ajabu. Mungu awanusuru mkuu
 
Is that all!!!? hakuna masikitiko wala neno juu ya dereva wake kama alikuwa mchapakazi, mwadilifu nk!!?
Ni watu gani hupaswa kusemewa maneno hayo kama siyo watendaji wa kada ya chini, au mchango wa madereva hauthaminiwi?

Halafu hi taarifa ya kuugua ghafla ndio utaalam gani?

Tuambie alipata matatizo ya moyo au kitu flani specific na sio kuugua ghafla
 
Back
Top Bottom